Ni maajabu kila jamii inasema imeanzia Ethiopia!
Ni ujinga wa hali ya juu.Wabantu hawapo Ethiopia,walianzia Eastern parts of Cameroon,Congo na Nigeria wakaanza ku-migrate huku.Hebu rudini shule msome Bantu Migration!
Ni maajabu na kweli kila kabila,sio Wachaga,Waarusha,Wameru,Watutsi,Wahaya,etc,kila mmoja anadai walitokea Ethiopia!Kenya karibu makabila yote wanadai walitokea Ethiopia,kama Kikuyu (bantu),Luhya (Bantu),Meru (Bantu),Kamba(bantu),etc...wakati wote hawa ni Wabantu walitoka West Africa,hawana uhusiano wowote na Ethiopia.
Hivi kwanini hivi vikabila vyetu vya kibantu vinapenda kujisogeza kwa makabila ya Afro-asiatics?Kila mtu anajisogeza na Somalis,mara Ethiopia,mara Djibout,Waisraeli,etc...ukoloni,ukoloni mtupu!