elias maswe
Senior Member
- Jan 8, 2017
- 195
- 229
Walitokea Misri. Ndio chimbuko la Wasukuma hata Bujora pale watakueleza hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa sipendi sana kitoto kunitukana kama kiingereza wengine tulijifunza zidi ya hayo maneno!!..hoja hupingwa kwa hoja sio viroja!!...
Ukitaka info disemination learn to know right questions to ask!....
Huna historical paper au evidence of any kind ku back up your claims!
Huna!
Tangu lini Hemites wakawa na ukoo na Wabantu?
Yaani wewe ni kiazi!
Halafu mkuu DNA ina demolish everything u think ni kabila!
Your personal DNA can be closer to me a Chagga than actually your fellow Sukuma!
Makabila ni mkusanyiko wa watu mbalimbali tena unakuta originally hawana common origin!Ni political construct,DNA ime debunk this left an right!
Acha uswahili wako wa kujizogeza kwa hermites wa Ethiopia na ni proven ni the oldest group than even Bantu themselves!
Wabantu tumetoka West Africa ni proven!I can give u numerous scholarly papers for u to read!Acheni ku mislead watu sababu mna mapenzi na Ethiopia na Somalia sababu wana caucasoid features za nywele laini na high chick bones na longer frames than we bantus!
Bado una akili za kitumwa juu ya ubantu na asili yao. Yaani umeona Afrika magharibi na kati ndio sehemu sahihi kabisa ya Wasukuma na makabila mengine ya aina hiyo. Ebu tembelea pale Bujora Museum uisome historia ya Wasukuma vizuri na uielewe.
Tatizo lako wewe umejaa ujuaji wa kipumbavu ukadhani wengine hatujui tunachosema. Alafu history is always refutable, sasa kutaka kila mtu akubali imani na upeo wako juu ya ubantu ni "ukichaa" na jifunze kukubali mawazo mapya.
Naona wewe ndo linakusumbua suala hili na sio mimi. Kwa maana hiyo wewe ndo mjinga na umekazania ujuaji wa kipumbavu. Yaani umeamua kuwapangia baadhi ya makabila asili yao kwa sababu tu some scholars and researchers wameandika. Yaani watu kama nyinyi unaweza ukaulizwa swali kuhusu North Korea ukaishia kuzungumzia suala la Nuclear bomb and missiles tu. Pole sana ila una mda bado wa kujifunza mambo mpya hapa duniani.Museum ni upumbavu!
Nipe scholarly work hapa nisome!
Wewe kunishambulia eti nina ujuaji hakusaidii chochote kukufanya wewe kua sahihi na assertations zako za myth ya Ethiopian origin..
Sukuma ni wabantu pure,sasa Ethiopian ndio walianza wabantu?una DNA study to support your stupidity?
Hivi umesoma Bantu Expansion darasani au uliruka madarasa?
Ethiopian origin is pure stupidity na myth..hutaki andamana!
Naona wewe ndo linakusumbua suala hili na sio mimi. Kwa maana hiyo wewe ndo mjinga na umekazania ujuaji wa kipumbavu. Yaani umeamua kuwapangia baadhi ya makabila asili yao kwa sababu tu some scholars and researchers wameandika. Yaani watu kama nyinyi unaweza ukaulizwa swali kuhusu North Korea ukaishia kuzungumzia suala la Nuclear bomb and missiles tu. Pole sana ila una mda bado wa kujifunza mambo mpya hapa duniani.
unajua maana ya sentensi ulizoandika, hapa chini!?..Na wewe ndio umejibu hoja hapo?
Negroid ni tusi?
Whats your problem hasa?
Ninachojua ni kwamba yule kiongozi wa malaika siyo msukuma, period
Hivi ukiigiza sana black american life ndio ujanja?.
Lakin ti kwa hekima mpaka leo tunawaanzi hao watawala wa mwanzo kwa salam japo sku izi watu hawajui ata maana ya hizo hekima za salam (lwimbo) na kwa hawa watawala kunawaliokuwa na maeneo makubwa sana na wanaonekana kuwanaidadi kubwa ya watu kama vile MINZA,( wanatumia EMINZA), Wengine ni akina.
NKWAYA,SEGA,NKWIMBA,SABHE,NG'WASHI,n.k
Na kuna hawa wanasalimiwa NG'WAKADILU walifata kwa huyu mama KADILU hakuwa mtemi na alizaliwa tu kwa kufata jua na asubuhi na alipaya pia wa kumuunzi kwa salam
Cc KasieBasukuma= Wakaskazini
Banang'weli= Wamagharibi
Badakama= Wakusini (mnawaita wanyamwezi kwa kweli hakuna wanyamwezi)
Banakiya= Wamashariki
Hawa wote ni lugha moja watofautiana lafidhi tu
Wasukuma (bhasukuma) ni Mwanza na Shinyanga
Banang'weli(bhanang'weli) hawa ni wasumbwa wanakaa zaidi sehemu za Geita na Kahama
Badakama (bhadakàma) au wanyamwezi mkoa wapo eneo karibu lote la Tabora
Banakiya(bhanakiya) ni wanyantuzu ni wasukuma maeneo yao ni Bariadi, Maswa tuseme mkoa wote wa Simiyu kwa akina Cheyo,Shibuda na Vijisenti
Nimeishia hapo kama anayejua zaidi karibu
SUKUMA ni kaskazini
DAKAMA ni kusini
KIYA ni mashariki
NG'WELI ni magharibi
Watu hawa lugha moja ni mtawanyiko wao ulivyo
You need a doctor Asap!..Mnaishia kua walimu feki wa watu waishije na kuongeaje wakati nao ni choka mbaya!
You need a doctor Asap!..
Ndio maana tunaambiwa tunabaguana,sengerema na geita wanakaa akina nani?Msukuma halisi kabisa niwa nnhela, Maeneo ya wilaya ya kwimba, misungwi na nusu ya maswa, magu na kishapu hao ndio wasukuma halisi
Ni maajabu leo umejigeuza mtoa ushauri wa kitabibu!Stick to your job acha kuvamia fani za watu.Inaonesha upo desperate on something!
Kula LIKE yangu mkubwa..Nani kakwambia wazinza,wasumbwa,wakonongo ni wassukuma??? Kwa huku kwetu tuna Bhanantunzu,bhadakama(wanyamwezi), Bhanang'wagala, Bhasumabhu na Bhanabhulima ndio hao wanaform kabila la WASUKUMA ambapo kuna wengine huwagawa kwa pande kuu nne za dunia.
Na kwa nyongeza tu hatujawahi kubaguana hata siku moja siye tukikutana na kujuana tunaanza na kubonga kikwetu iwe ndan ama nje ya mikoa tunayopatikana kwa wingi .
Mkuu ulicho sema ni ukweli Mimi nilifatilia hilo,nikaambiwa hivyo hivyoKiuhalisia kabisa sukuma walihamia kutoka nchi ya ethiopia huko ndio hasiri yao ila inawezekana napo huko kuna sehemu walitoka kabla kwan jamii za zamani zilikuwa zinahama kutokana na sababu mbalimbali mfano kushindwa vita na himaya kuchukuliwa, majanga, kujitenga kutoka kwenye utawala fulani au kufukuzwa na jamii husika