Hivi Msukuma halisi huwa anatokea wapi?

Na nyengine ni ENKAMBA maamkizi haya wengi wapo ni wilaya ya Kahama Shinyanga. Naskia asili yake ni mtu kutoka Kenya kabila Mkamba alipewa utawala na watu wa Kahama kaskazini (Lyandi lya Baloha), sijui nadhani Baloha walikuwa wenyeji wa eneo hilo. KAMA KUNA MTU ANAJUA ZAIDI ANIPE HISTORIA HIYO TAMU. Wasukuma wapole, hawapendi purukushani, wanapenda amani halafu ni wengi sana lakini hawapendi kuona uchafuzi wa amani
 
Meatu shule gani
 
Nilikwenda Bunda sikuamini kukuta jamii ya Wasukuma kubwa sana. Na hata nasikia Esther Bulaya ni Msukuma japo sina uhakika kwa baba au mama.
 


Ni maajabu kila jamii inasema imeanzia Ethiopia!

Ni ujinga wa hali ya juu.Wabantu hawapo Ethiopia,walianzia Eastern parts of Cameroon,Congo na Nigeria wakaanza ku-migrate huku.Hebu rudini shule msome Bantu Migration!

Ni maajabu na kweli kila kabila,sio Wachaga,Waarusha,Wameru,Watutsi,Wahaya,etc,kila mmoja anadai walitokea Ethiopia!Kenya karibu makabila yote wanadai walitokea Ethiopia,kama Kikuyu (bantu),Luhya (Bantu),Meru (Bantu),Kamba(bantu),etc...wakati wote hawa ni Wabantu walitoka West Africa,hawana uhusiano wowote na Ethiopia.

Hivi kwanini hivi vikabila vyetu vya kibantu vinapenda kujisogeza kwa makabila ya Afro-asiatics?Kila mtu anajisogeza na Somalis,mara Ethiopia,mara Djibout,Waisraeli,etc...ukoloni,ukoloni mtupu!
 
Pia wewe ni "mjinga" maana unalazimisha historia uliyoisoma na kuiamini ndo kila mtu aikubali.
 
Safi sana...

Nzugu ung'we nhunda ya mabhele Magu aha...
 
Pia wewe ni "mjinga" maana unalazimisha historia uliyoisoma na kuiamini ndo kila mtu aikubali.



Huna historical paper au evidence of any kind ku back up your claims!

Huna!

Tangu lini Hemites wakawa na ukoo na Wabantu?

Yaani wewe ni kiazi!

Halafu mkuu DNA ina demolish everything u think ni kabila!

Your personal DNA can be closer to me a Chagga than actually your fellow Sukuma!

Makabila ni mkusanyiko wa watu mbalimbali tena unakuta originally hawana common origin!Ni political construct,DNA ime debunk this left an right!

Acha uswahili wako wa kujizogeza kwa hermites wa Ethiopia na ni proven ni the oldest group than even Bantu themselves!

Wabantu tumetoka West Africa ni proven!I can give u numerous scholarly papers for u to read!Acheni ku mislead watu sababu mna mapenzi na Ethiopia na Somalia sababu wana caucasoid features za nywele laini na high chick bones na longer frames than we bantus!
 
Umejitahidi
 
Wasukuma wametokea Ethiopia



Napinga kabisa...Ethiopians hermites are the oldest kuliko bantu,just next to khoisans...

Sasa wewe mbantu umetokea wapi horn of Africa?

Wewe negroid motherfucken bantu umetokana watu na afro asiatics?Acheni kulamba watu matako namna hii!

Wabantu wote tumetoka west africa,story ya ethiopia ni myth!

Nipe academic paper to support your outlandish claim!
 
Huwa sipendi sana kitoto kunitukana kama kiingereza wengine tulijifunza zidi ya hayo maneno!!..hoja hupingwa kwa hoja sio viroja!!...

Ukitaka info disemination learn to know right questions to ask!....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…