Hivi Msukuma halisi huwa anatokea wapi?

Wasukuma asili yao ni bonde la msitu wa Kongo. Haya ya ng' weli, Kiya, dakhama, sukuma, nk ni mtawanyiko tu.



Mkuu,I agree with u na ni supported na official studies za bantu migration studies!

Sio hawa wanaamkaa asubuhi na kujipa uethiopia!Bado kidogo watajiita wazungu!these people are sick!
 


Mkuu

Naona unapambana na uchagga wangu sana.Unanitukana na uchagga wangu mno,guess what,Im proud!And Im proud Bantu,unlike wewe unaekimbia Ubantu,shame on u..

Heri hata baadhi ya wachagga wana-claim horn of africa bloodline maana walao of close priximity na admixtures ya southern somalis,ila we are very proud bantus and nobody can deny that!! Watu mnaona bantu ni kama tusi hivi,shame on u niggas!

Wasukuma nani kawaambia nyie ni wafugajia as a definition ya wafugaji?Lies,lies,lies!Nyie ni mix ya wakulima/wafugaji full stop!

Acheni kujipakaza na watu wasio wahitaji!

Leteni proven study yenye kusupport hizo ndoto zenu mfuu!Andika kitabu hapa na author,tuangalie...refer na chapter kabisa...nianze debunking !
 



Lies,lies,lies!

Ethiopia my ass!

Ethiopians ni afro asiatics wana special DNA markers kwa ajili yao tu ,na sisi bantus we have ours!

Ethiopians and Somalis are most homogeneous societies in the world,they have no mix with external societies that much na ni older than most societies in the world...Bantu utatokea wapi kwa Hermites kama sio upuuuzi?

Bantu tumetoka west africa,thats it!Deal with it people!Na study zinasupport my claim.Kasome Bantu Expansion!


Sasa labda mpinge leo eti Sukuma sio Bantu!

Na jinsi mnavyoongea inaelekea mnajiaminisha kabisa Sukuma sio Bantu,shenzeee kabisa!

Sukuma SIO bantu????Aisee im done with u confused people sukuma!
 
Yeeeeeee,niyo kinewe ng'hwaniki?? Tulibhakidugu gete uiseeeeeee
 

Inaniuma pale mnaposema UONGO!

Wasukuma sio wafugaji kama unavyosema,ni mix ya Wakulima/Wafugaji....Wasukuma ni WABANTU na sio jamii ingine,wabantu hawajawahi toka Horn of Africa!

Stop lying to yourselves people!

You are BANTU 100% just like the rest of us!
 
Mala zote mtu anaejaribu kujifanya anajua hua ana tatizo kidogo,watu wanaopenda kuandika uandishi wakichanganya kiswahili na kingereza ni wale mabishoo wenye kudhani wanajua kila kitu kutoka shuleni walipolishwa vitu vya kukalili kichwani.ndo wale wanaopenda kuikimbia Afrika wakidhani waendako ndiyo pako vizuri kuliko walipozaliwa


JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 


Angalia huyu nae!

Una phobia na watu wanao ongea English na kiswahili?Thats your problem not mine!

Nyie Wasukuma sio Wabantu?Ni Wabantu 100%,sasa Wabantu hua wanatoka Ethiopia?Shule mlipita wapi nyie raia wa Usukuma?Bantu Migration hamkusoma?Au mpo kwenye denial?

Mna matatizo ya denial,ahahaaaa!

This is funny aiseee!
 
Ni lazima weww una ukichaa ambao nduguzo hawajastukia wakutafutie tiba.sijui unaongea nini ambacho mimi sijaonyesha kukubali wala kupinga lakini unaropoka tu na kiswaenglish kutafuta kujifanya unajua.kama si umri wako mdogo basi una ukichaa

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 


Mzee,

Umeanza kwa kua negative na mimi,na kwa hoja zilizoko mezani ni directly unapinga hoja zangu na everything,by default naku treat kama opponent..

Nilichojibu against you ni right thing to do according to me......

Hiyo mandate ya kuwaita wenzio vichaa wakati hujawapima inaonesha wewe ndio una tatizo kubwa zaidi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu wengi hawajui na hii tulibahatika tu kujua ambao tumekua kwa mababu na tulikua na kikome na kuanza kupewa ngano na hadithi za mambo ya kale yani hii huwa siisahau .
Hapo kwenye kikome ndio maana kwa watoto na vijana hutengenezwa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu wengi hawajui na hii tulibahatika tu kujua ambao tumekua kwa mababu na tulikua na kikome na kuanza kupewa ngano na hadithi za mambo ya kale yani hii huwa siisahau .
Nakumbuka wakat nakaa na babu yangu maeneo ya magu nilikuwa na jukumu la kuandaa shikome kila siku kwq kutumia mavi ya ng'ombe muda huo mnapiga story huku mkichoma mbuta na mihogo
 

Samahani ndugu,
Huu ni mjadala siyo uwanja wa mashindano ya kutafuta mshindi.
Tupinge na kujadili hoja kistaha.


Ukisoma baadhi ya wachangiaji wametoa wanachokifahamu ,na mwisho wamesema mwenye kufahamu zaidi aongeze au aendeleze.
Sasa kama wewe kuna unachokifahamu kinyume na maoni fulani pinga kwa hoja na siyo kumshambulia mtu au kikundi cha watu.
Wengine tunajifunza hapa.
 
Unataka kusema somalia hakuna wabantu? Soma hapo palipo kuwa highlited
 

Mzee Chakochangu

Shida ni kua watu wanadanganya kwa makusudi kabisa kwa kisingizio eti "wamehadithiwa" na mababu zao kua wametoka Ethiopia!

Mimi nimekua nawapinga,maana Wabantu hawajawahi toka Horn of Africa at all.Asili ya Wabantu ni west Africa.Tumesoma darasani,Bantu Migration.....

Hakuna mambo ya kushindana,for what?Is anybody paying anybody,nah!
 


Mkuu hoja unayo,tatizo ulivyoiwasilisha ndivyo sivyo.
Ndiyo maana nikasema tuwasilishe hoja kwa staha.
Hoja ikiwasilishwa kwa staha na lugha nzuri ,hata yule unaempinga ataisoma na kufurahia mchango wako.

Hata hivyo tupo pamoja.
 

Mkuu kama ulikuwa na ni nia ya kujifunza utakuwa umeshaelewa tayari hao unaowaita

Wazinza
Wasumbwa
Walongo
Wakonongo

Hao wote sio wasukuma, japo wengi wao wanakijua kisukuma lakini nadra kumkuta msukuma anajua hizo lugha nyingine

Kumbuka lugha inayotumika kwenye mabaraza ya vijiji ni kisukuma na majority of watu ni wasukuma

Cha kukusaidia hao wazinza, wasumbwa, wakerewe, wanasikilizana na wahaya na lafudhi yao ni moja.
 
Wasukuma wametokea Kongo
Kusema wametokea Ethiopia ni uwongo wa karne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…