Mkuu,Wabantu wanasema asili yao ni West Africa miaka 3,500 iliyopita au 1,500BC.
Tukichukulia theory ya single origin kwamba mankind wote tulitokea kwa mzazi mmoja basi huenda walianza kama aina ingine ya watu,walipofika West Africa wakawa Wabantu...Lakini mzee genetically ambapo zinatrace miaka 65,000 nyuma Wabantu tupo tofauti kabia kabisa na people from Horn of Africa!Hivyo hoja ya connection hakuna mazima yaani!
Miaka 3,500 ni juzi tu,kwahiyo migration ilifika East Africa kwetu huku miaka 150AD,ndio makabila haya karibu 500 ya Kibantu yaliform....hivyo basi Haya makabila yetu huku yalijijenga juzi tuuuuu mkuu!..Ukiniambia eti yalianzia Ethiopia walao kungekua na traces za genetics kwenye DNA lakini hamna whatsoever!
Spreading kutoka Ethiopia sio possible mkuu maana tungekua na genetics relationships na wao,ila wenyewe wala markers tofauti na markers zetu na zina-trace miaka 65,000 uki-compare na vimiaka 3,500 vya bantu expansion...Na sukuma as a tribe lime-form recently tu na litakufa hivi karibuni tu....infact tribes zetu zote hizi zipo kwenye vifo pia.Ethiopia can never be a source,never!Nilotes ni tofauti kabisa na Bantus,hapa tunazungumzia Bantus,ambapo Wasukuma ni Bantu na wala sio Nilotic.Nilotics ni kama Masai,Kalenjin,Kurya,Jaluo,etc na sio sisi Wabantu..Labda uniambie leo kua Wasukuma wamegeuka Nilotics,kama ni Nilotics kweli basi watakua na origin ya Ehtiopia,otherwise ni Wabantu kama sisi na tumetoka West Africa 3,500years ago!