Hivi Msukuma halisi huwa anatokea wapi?

Asante sana nilikuwaga sijui nini maana ya eminza na emwasnhi
Wewe msukuma wa mjini!! Ila Kama unataka kujiongezea maarifa zaidi kuhusu "nzwimbo", wingi wa "lwimbo" tembelea Bujora, makumbusho ya kabila LA kisukuma. Zimetajwa vyema sana kila mmoja na mahali au eneo alilotawala.
 
Ni kweli, hizo ni kabila tofauti kabisa na wasukuma, na lugha zao zinatambuliwa hadi na ISO na zina code zake. Ukitaka kuzitafuta search ISO language codes utazipata!! Hasa ile inayoishia na .3 Yaani 9**.3 (sikumbuki vyema namba za hapo katikati, can be 63)
 
Unataka kusema somalia hakuna wabantu? Soma hapo palipo kuwa highlited View attachment 718183


mkuu

Umenisoma post yangu?

Somalia wabantu wapo,tena ni minority,wapo Southern Somalia...Kwanini walifika pale,well,slave trade ya waarabu walikua wanawapitishia Somalia kwenda Yemen na Middle East..Na pia kua wachache walitokea Kenya..Ila sio indeginous wa Somalia na ni minority pale na wanabaguliwa balaa,wanaitwa jareers,ni kama bado watumwa kabisa.Tena technically wamewakatia jina wanaitwa SOMALI BANTU na sio SOMALIS kama walivyo wasomali wengine.Ni marufuku kuwaita wasomali,ni Somali Bantus!Ubaguzi to the core!As we speak these people are suffering,wanaambiwa warudi kwao,kuna baadhi wamerudishwa TZ just recently!

Origins za hao Bantus ni largely TZ,Mozambique and Kenya...walitoka southern parts wakaenda Somalia na sio walishuka eti from Somalia to Southern countries.

Hebu acheni kua kwenye denial ya asili yetu Wabantu!
 

Mkuu kwanza hao unaosema wadakama hata hawako mwanza hawa kwa wingi wapo Tabora ambao nyie mnaita wanyamwezi.
Na kuhusu kwenda usukuman labda wew karibu ujionee me npo sana tu usukuman nmezaliwa kahama,nmesoma simiyu,nmeishi na shinyanga pia sehem zote hizo ikiwemo na Tabora nmekaa mwaka mmoja sehem zoete nlizo taja nilikua naishi vijijin sana skuwah kubaguliwa wala kuona mtu anabaguliwa kisa kisukuma chake.
Na hao wasumbwa hata wakiwa wanaongea kwa msukuma hawez ata kuwaelewa na hata hao wazinza huwez waelewa hata salam ni tofauti sana baina ya wakuma na wazinza+wasumbwa
 
Mkuu. Hawa wabantu kabla ya kukaa West Africa walitokea wapi???

Maana naona kuna kila dalili ya wao kuspread toka ethiopia...kwenda west africa na wale tunaoita nilotic kutoka ethiopia kuja east africa.
 
Pia tukukumbuke sio waethiopia wote wanamuonekana kama wa kiarabu. Waethiopia wapo wa muonekano mbalimbali sema waliomaarufu na kuonekana sana ni hao wahabeshi.
Picha hizi chini inaonesha makabila mbalimbali ya waethiopia. So baadhi ya makabila wakidai wanatoka ethiopia msiwarushie mawe.

Wengi wetu tunawajua waethiopia hawa wa chini hapa.
 
Mkuu. Hawa wabantu kabla ya kukaa West Africa walitokea wapi???


Mkuu,Wabantu wanasema asili yao ni West Africa miaka 3,500 iliyopita au 1,500BC.

Tukichukulia theory ya single origin kwamba mankind wote tulitokea kwa mzazi mmoja basi huenda walianza kama aina ingine ya watu,walipofika West Africa wakawa Wabantu...Lakini mzee genetically ambapo zinatrace miaka 65,000 nyuma Wabantu tupo tofauti kabia kabisa na people from Horn of Africa!Hivyo hoja ya connection hakuna mazima yaani!

Miaka 3,500 ni juzi tu,kwahiyo migration ilifika East Africa kwetu huku miaka 150AD,ndio makabila haya karibu 500 ya Kibantu yaliform....hivyo basi Haya makabila yetu huku yalijijenga juzi tuuuuu mkuu!..Ukiniambia eti yalianzia Ethiopia walao kungekua na traces za genetics kwenye DNA lakini hamna whatsoever!

Maana naona kuna kila dalili ya wao kuspread toka ethiopia...kwenda west africa na wale tunaoita nilotic kutoka ethiopia kuja east africa.


Spreading kutoka Ethiopia sio possible mkuu maana tungekua na genetics relationships na wao,ila wenyewe wala markers tofauti na markers zetu na zina-trace miaka 65,000 uki-compare na vimiaka 3,500 vya bantu expansion...Na sukuma as a tribe lime-form recently tu na litakufa hivi karibuni tu....infact tribes zetu zote hizi zipo kwenye vifo pia.Ethiopia can never be a source,never!Nilotes ni tofauti kabisa na Bantus,hapa tunazungumzia Bantus,ambapo Wasukuma ni Bantu na wala sio Nilotic.Nilotics ni kama Masai,Kalenjin,Kurya,Jaluo,etc na sio sisi Wabantu..Labda uniambie leo kua Wasukuma wamegeuka Nilotics,kama ni Nilotics kweli basi watakua na origin ya Ehtiopia,otherwise ni Wabantu kama sisi na tumetoka West Africa 3,500years ago!
 


Nishajua shida yetu sisi Wabantu..tunapenda sana na sisi tuonekane na caucasoid features kama Waethiopia,Somalis,Djibout,etc ndio maana tunajikomba nao..

Na hao weusi unaowaona huko Ehtiopia sio Bantus,ni Nilotics wanaitwa Nubians,ni weusi tii na features kama za kwetu Wabantu lakini sio Wabantu...Ni Wajaluo and others,wale sio Wabantu...Sisi wabantu ni wengine kabisa...

Wapo West Southern Ethiopia,Sothern West Sudan,Uganda,Kenya,Somalia,TZ pia....Usi-confuse sura,unaweza ukawa mislead na physical features ndio maana miaka hii kuna DNA studies,wanachukua sample size ya kutosha then wanatofautisha,na tofauti ni kubwa tu....
 
Je genetically kuna difference kati ya Bantu na Nilotes??? Maana phenotypically tofauti ndogo sana.

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Je genetically kuna difference kati ya Bantu na Nilotes??? Maana phenotypically tofauti ndogo sana.

Wana tofauti na sisi mkuu...Kuna vitambulisho vilivyomo kwenye DNA zao kwetu hazipo,na kuna za kwetu kwao hazipo,mostly tunashea ila kuna markers ndio zinaleta tofauti...Check DNA studies za Nilotes na za Bantus uone comparisons....phenotypically unaweza usione tofauti kwa fasta ila kuna tofauti ukienda deep hasa kwenye DNA level..
 
Mkuu naomba nikufuate pm kama hutajali
 

Hii historia umetoa wapi, acha kuhadaa umma wasukuma sio Alhamaric ni wabantu na hivyo asili yao si Ethiopia punguza bangi mdogo wangu
 
Majebele ndo babu yangu mke wake amefariki tarehe 21\03\2018 huko iramba
Akiwa na zaidi ya miaka 115
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…