Ni msukuma 'pure' babu yake alitokea Misungwi.Ninachojua ni kwamba yule kiongozi wa malaika siyo msukuma, period
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni msukuma 'pure' babu yake alitokea Misungwi.Ninachojua ni kwamba yule kiongozi wa malaika siyo msukuma, period
Wanajulikana kama wasukuma wa nhelaHuyo Msukuma halisi anaitwaje, maana jamii zote hizo zipo eneo moja.
Kuna kitabu kipo pale Bujora Mwanza kina historia yote ya usukumaniMkuu kwa kawaida tu head state ya Wasukuma wote ipo USUKUMA Mwanza na hata zile shelehe na bhulabho zilikua zinafanyikia mara nyingi maeneo yale na huko ndiko mtemi wa kabila lote aliteuliwa japo anaweza kutoka sehem yeyote wasasa sijajua ametokea eneo gan japo wamwisho mie kumfahamu alikua Majebhele toka Busia.
Ukimjua mmoja wengine wanakuja kama siafu wanavyoshikana wakati wakuvuka maji [emoji23]katika sifa kubwa za wasukuma ni ukarimu na sio wabaguzi...iwe kwa makabila mengine au wao kwa wao
Sent using Jamii Forums mobile app