Hivi mtaji wa 30,000/= unaweza kufanyia biashara ipi?


Kaka naomba n PM tubonge kuinua uchumi
 
mungu akubariki. Nimeshindwa pm siioni.no.yangu ni 0713-039875 nipo moshi, tuwasiliane pls
 
Uza Bange inalipa hasa maeneo ya Ubungo Stendi kuna wateja wengi

una jiita blessings halafu una mshauri mtu ushetani huu ni upuuzi dharau haijengi wewe kama ume kulia ushuani mboga saba kila kitu una pata basi acha watoto wa mbwa wa struggle kupata kipato cha halali...jifunze kuheshimu wenzako.
 
Last edited by a moderator:
Mwambie mrs Tibaijuka angalau akukopeshe Tsh 1,500,000/=tu nenda kaagize marobota ya nguo ya special kutoka Uganda na mafurushi kama 2 ya viatu maana uganda ni wazalishaji wazuri viatu aina ya ( yeboyebo) na nguo kutoka Jinja textile mills ltd njia nzuri ni ya bukoba -mwanza kwa njia ya maji haina gharama ya ushuru mkubwa jamani hii biashara inalipa hakuna mchozo mimi imenitoa nilianza kidogokidogo. kwenye msimu huu wa sikukuu ya x mass natarajia kufungua LODGE HAPA JIJINI MWANZA si kutegemea nilipotokea na nilipo kwa sasa.Tanzania yeboyebo inavaliwa acha mchezo.
 

kaka ubarikiwe sana.ndo maana watu wannabarikiwa sana huu upendo ulionyesha hapa ni mkubwa.unayajua maisha halisi ya mtanzania wa kawaida.nimependa moyo wako wa huruma
 

Mkuu wazo lako zuri. Ila mtu ana 30,000/= nusu ekari ya ardhi ataipataje?
 
Last edited by a moderator:
Wakuu naomba ushauri mi ni mfanya kazi katika shirika la ulinzi nataka kufanya biashara kama nina elfu thelasini nifanyie biashara gani?

Uza karatasi za limu vyuoni ' nina uzoefu nayo, unauza karasa 1 kwa sh. 100' wanafunzi wengi ununua kwajili ya kujisomea na kuandika sumury' siku za kawida unaweza kuuza mpaka limu zima ambazo ni karatsi 500' na kipindi cha mitihani mpaka limu 2'. mtaji wa sh. 8000 faida ya sh. 42000'.
 

Mkuu ulifikaje chuo?
 
Babu kizee naamini kuwa wewe ni,mwanaume kwa kuwa wewe ni mfanya kazi basi fanya hivi katafute nguo za mtumba chagua nzuri za kike na za kiume zipasi vizuri weka katika bag ukifika kazini kwako anza kuwaonyesha wenzio na kama utaweza zungusha maeneo mbali mbali hasa maofisini mfano suruali unaweza nunua kwa sh.2000/ ukaunza sh.8000, vinguo vya wanawake mfano vibrausi unaweza ukanunua kwa sh.1000 ukaunza 2500 ukiwa na moyo wa biashara utaona huo mtaji wa elfu 30 unavyoweza kujizalisha na kukupatia vianuli vya hapa na pale hakuna mtaji mdogo ni juhudi na maarifa ya mtu tu nakupa moyo anza na faida utaiyona kila la heri katika biashara
 
uza kondom karibu sehemu za starehe, uza bila uoga hadharani.
 
copy n paste

Kuna mtu ameuliza mahali kama unaweza kufungua biashara mtaji wa

Tsh 25,000. Nimejaribu hapa, icheki.
Pasi ya Mkaa Tsh 15,000/-
Ubao wa kupasia (meza duni ya kuanzia) Tsh 2000/-
Mkaa wa kuanzia 1000
Ubao wa kuandika "DOBI YUPO HAPA" Tsh 1000/-
SMS 200 kuwaambia watu 200 nimefungua dobi center Tsh 450/= (Tigo
Extreme)
Daftari na Kalamu vya kutunza hesabu Tsh 550/=
Kodi ya kibarazani ntapopasia nguo 500/siku kwa siku 10 za kuanzia Tsh 5000/=
Jumla Tsh 25,000/=
Hakuna lisilowezekana!! **Tufanye kazi**
 
ficha upumbavu wako wewe watu wako serious ningekuwa mod ningekupiga ban ya maisha poor you!

Ahsante kuna watu wanafanya uyani kwenye mambo ya msingi hawa maendeleo kwao itakuwa ndoto, anatania lakini akiwa makini anaweza kujifunza mambo mengi sana wanafunzi wa vyuo huku mitandaon ni taabu sana wapuuzi kupindukia kazi kutungoza kuandika mathread ya kipuuzi na majibu pumba tuu.. Na kuleta mapicha ya utupu ya wapenzi walioachana nao?????
Loh.
 
ficha upumbavu wako wewe watu wako serious ningekuwa mod ningekupiga ban ya maisha poor you!

Ahsante kuna watu wanafanya utani kwenye mambo ya msingi ,hawa maendeleo kwao itakuwa ndoto, anatania lakini akiwa makini anaweza kujifunza mambo mengi sana wanafunzi wa vyuo huku mitandaon ni taabu sana wapuuzi kupindukia kazi kutungoza kuandika mathread ya kipuuzi na majibu pumba tuu.. Na kuleta mapicha ya utupu ya wapenzi walioachana nao?????
Loh.
 
yaani wanakwaza wengine tuko serius hapa kupata masomo ya kuinuika kiuchumi kupitia wengine wao wanaleta ujinga tu hapa sijui kwanini na mods wanawaachia tu bila kuwapa fundisho yaani kuwabanika maana majukwaa ya jokes yapo kule hawaendi wanakuja sehemu ambayo tunajifunza vitu vya maendeleo huku wanaudhi best hawa watu jamani

kama mamods wanatuona hapa wawaonye na kuwapa fundisho jf imebadilika sana sana siku hizi
 
Umeona mkuu yani watu wengine hawana ushauri wa maana kazi yao ni kukejeli na jokes hata kwenye mambo ya amaana kama haya wao ni jokes tu wanakera jamani sijui kwanini mods hawalioni hili au wanafumbia macho kiaina
mawazo kama haya, bora tu yangelikuwa yanapigwa ban tu!
 
Kwa Maelezo zaidi juu ya fursa kubwa ya jinsi ya kutumia simu yako KUTENGENEZA pesa, piga namba zinazooneka
 

Attachments

  • PhotoGrid_1472057279197.jpg
    57.3 KB · Views: 68
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…