Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,085
hongera sana kwa moyo wa uthubutu, labda nichangie jambo moja hapo! kuna gari inayoenda mikoani. huko gunia la mkaa hununuliwa kwa kati ya shilingi 5,000 mpaka 8,000. ukichanganya na ushuru gunia linafika kwenye around 15,000. gunia hilo huku huuzwa kati ya 25,000 mpaka 30,000.
nikuombe jambo moja. lipia gunia hilo kwa shilingi 15,000 (ikimaanisha gharama za kununua na ushuru) ukiliuza utapata faida ya shilingi 10,000 ama 15,000 kwa gunia. ikiwa na maana kuwa kwa mtaji wa 30,000 utapata magunia mawili ambayo yatakuletea 30,000 faida, Mungu akisaidia kila safari nitakuwa nakuletea magunia matatu ambayo kwako itakuwa shilingi 45,000 bado tena kama Mungumanaleta wepesi kuna uwezekano wa safari tatu mpaka nne kwa mwezi. kamw safari moja faida itakuwa 45,000 x 3 =135,000 kwa mwezi UTAKUWA UMETOKA.
mtaji wa 30,000 leo unaingiza 135,000
NB: 1. NITUMIE NAMBA YAKO KWENYE INBOX AMA HAPA HAPA
2. KAMA MKAA HUTAUZA UTANIRUDISHIA MWENYEWE (kwa matumizi ya nyumbani)
3. Nia ni kukwamuana ktk lindi la umaskini, shida, mateso na karaha
4. utalipia mkaa wako utakapofika kwako (dar)
MUNGU IBARIKI TANZANIA....MUNGU IBARIKI JF
Kaka naomba n PM tubonge kuinua uchumi