Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu naomba ushauri mi ni mfanya kazi katika shirika la ulinzi nataka kufanya biashara kama nina elfu thelasini nifanyie biashara gani?
Unaeza kuuza nguo za mtumba hasa za akina dada nazo zinalipa
hongera sana kwa moyo wa uthubutu, labda nichangie jambo moja hapo! kuna gari inayoenda mikoani. huko gunia la mkaa hununuliwa kwa kati ya shilingi 5,000 mpaka 8,000. ukichanganya na ushuru gunia linafika kwenye around 15,000. gunia hilo huku huuzwa kati ya 25,000 mpaka 30,000.
nikuombe jambo moja. lipia gunia hilo kwa shilingi 15,000 (ikimaanisha gharama za kununua na ushuru) ukiliuza utapata faida ya shilingi 10,000 ama 15,000 kwa gunia. ikiwa na maana kuwa kwa mtaji wa 30,000 utapata magunia mawili ambayo yatakuletea 30,000 faida, Mungu akisaidia kila safari nitakuwa nakuletea magunia matatu ambayo kwako itakuwa shilingi 45,000 bado tena kama Mungumanaleta wepesi kuna uwezekano wa safari tatu mpaka nne kwa mwezi. kamw safari moja faida itakuwa 45,000 x 3 =135,000 kwa mwezi UTAKUWA UMETOKA.
mtaji wa 30,000 leo unaingiza 135,000
NB: 1. NITUMIE NAMBA YAKO KWENYE INBOX AMA HAPA HAPA
2. KAMA MKAA HUTAUZA UTANIRUDISHIA MWENYEWE (kwa matumizi ya nyumbani)
3. Nia ni kukwamuana ktk lindi la umaskini, shida, mateso na karaha
4. utalipia mkaa wako utakapofika kwako (dar)
MUNGU IBARIKI TANZANIA....MUNGU IBARIKI JF

Mkaa gunia moja au mawili halafu unapanga na kuuza kwenye makopo.
Nakubaliana na wewe kabisa BABU KIZEE gunia dogo la kilo 25 linauzwa sh 8000 ukileta hdi kwako let's say nauli 1000 then 3000 iliyobaki nunua vifuka vya nylon funga vimkaa vinavouzwa kwa buku kiloba kimoja unapata faida mara 2 kwahyo after one week unatengeneza faida ya elfu 30 then unaenda kuchukua tena viloba 6 fanya hvyo
kwa sasa hivi na muda huu nipo mwengewe upo wapi mkuu?
Hizi taarifa siyo kweli. Ushuru wa gunia la mkaa ni Tsh 14,500 kwa gunia. Usafiri kulingana na sehemu unayotoa si chini ya Tsh 5000 mpaka Dar. Na kama unavyojua kusafirisha gunia moja ni ghali zaidi hivyo hadi dar itakuwa si chini ya 45000 kama itakuwa kwa halali kabisa. Halafu gunia hilo hilo linauzwa tsh 40,000.
In short ninachotaka kusema ni kwamba biashara ya kuchukua mkaa porini inahitaji mtaji mkubwa sana, kwa kuanzia gunia 20 hadi 40.
labda ndugu zangu niseme jambo moja, nimefanya na jina uzoefu japo kidogo wa biashara ya daladala. Kwa wafanyao biashara hiyo kuna tendency ya kukatisha watu tamaa wasijiunge wengine ili waendelee kubaki wao wakikupa ugumu wa kufanya biashara hiyo na si faida yake! Vivyo hivyo hata biashara nyengine akina SANBALATI & TOBIA huwa wengi sana, lakini tusikatishwe tamaa na mitaji yetu midogo YOTE YAWEZEKANA
NB:
MHUSIKA ALIYEOMBA MSAADA AMEPEWA VIGEZO VIKIWEMO KUWA ASILIPE MPAKA MKAA UMEMFIKIA NA ASIPOUZA AUREJESHE ATARUDISHIWA PESA
hongera sana kwa moyo wa uthubutu, labda nichangie jambo moja hapo! kuna gari inayoenda mikoani. huko gunia la mkaa hununuliwa kwa kati ya shilingi 5,000 mpaka 8,000. ukichanganya na ushuru gunia linafika kwenye around 15,000. gunia hilo huku huuzwa kati ya 25,000 mpaka 30,000.
nikuombe jambo moja. lipia gunia hilo kwa shilingi 15,000 (ikimaanisha gharama za kununua na ushuru) ukiliuza utapata faida ya shilingi 10,000 ama 15,000 kwa gunia. ikiwa na maana kuwa kwa mtaji wa 30,000 utapata magunia mawili ambayo yatakuletea 30,000 faida, Mungu akisaidia kila safari nitakuwa nakuletea magunia matatu ambayo kwako itakuwa shilingi 45,000 bado tena kama Mungumanaleta wepesi kuna uwezekano wa safari tatu mpaka nne kwa mwezi. kamw safari moja faida itakuwa 45,000 x 3 =135,000 kwa mwezi UTAKUWA UMETOKA.
mtaji wa 30,000 leo unaingiza 135,000
Hongera sana kaka mahesabu! Nawaombeeni kila la kheri na mungu awazidishie nyote!
hongera sana kwa moyo wa uthubutu, labda nichangie jambo moja hapo! kuna gari inayoenda mikoani. huko gunia la mkaa hununuliwa kwa kati ya shilingi 5,000 mpaka 8,000. ukichanganya na ushuru gunia linafika kwenye around 15,000. gunia hilo huku huuzwa kati ya 25,000 mpaka 30,000.
nikuombe jambo moja. lipia gunia hilo kwa shilingi 15,000 (ikimaanisha gharama za kununua na ushuru) ukiliuza utapata faida ya shilingi 10,000 ama 15,000 kwa gunia. ikiwa na maana kuwa kwa mtaji wa 30,000 utapata magunia mawili ambayo yatakuletea 30,000 faida, Mungu akisaidia kila safari nitakuwa nakuletea magunia matatu ambayo kwako itakuwa shilingi 45,000 bado tena kama Mungumanaleta wepesi kuna uwezekano wa safari tatu mpaka nne kwa mwezi. kamw safari moja faida itakuwa 45,000 x 3 =135,000 kwa mwezi UTAKUWA UMETOKA.
mtaji wa 30,000 leo unaingiza 135,000
NB: 1. NITUMIE NAMBA YAKO KWENYE INBOX AMA HAPA HAPA
2. KAMA MKAA HUTAUZA UTANIRUDISHIA MWENYEWE (kwa matumizi ya nyumbani)
3. Nia ni kukwamuana ktk lindi la umaskini, shida, mateso na karaha
4. utalipia mkaa wako utakapofika kwako (dar)
MUNGU IBARIKI TANZANIA....MUNGU IBARIKI JF
...amen...Hakika nakupongeza sana kwa moyo wako wa kutaka kumsaidia huyu ndugu aliyeomba ushauri wa maisha japo kuna wengine humu mataahira wanaleta majibu ya kipuuzi wkt wengine wanashida za ukweli. Watu kama ww wakipatikana 10 tu eneo unaloishi naimani hakutakuwa na omba omba! Mwenyezi mungu akubaliki sana!