Hivi Mtanganyika anaweza kwenda kuwa Rais wa Zanzibar?

Hivi Mtanganyika anaweza kwenda kuwa Rais wa Zanzibar?

Hakuna mtu aitwaye MTANGANYIKA....hayupo hayupo hayupo.....

Tanganyika ilikufa 1964.....

Ilikufa kifo kizuri na cha heshima kubwa kwa ajili ya mustakabali mwema wa miaka bilioni inayokuja.....

Ardhi ile tukufu ikaungana na Zanzibar kuzidi kuuinua utukufu wake....pande la ardhi hilo liwe bora na thamani zaidi ya hapo mwanzo.....

#Tanzania kwanza
 
Swala la muungano ni tata. Jibu ni haiwezikani. Chukuwa swala dogo la ubunge, ni lazima uwe mkazi wa sehemu hiyo.
 
Back
Top Bottom