Hivi Mtanganyika anaweza kwenda kuwa Rais wa Zanzibar?

Hivi Mtanganyika anaweza kwenda kuwa Rais wa Zanzibar?

Naomba nipate ufafanuzi wa kisheria hivi mtu kutoka Tanzania bara yaani Mtanganyika anaweza kwenda kugombea urais Zanzibar?
Unasema urais? Hata usheha haruhusiwi. Yaani mtanganyika hata ardhi haruhusiwi kumiliki Zanzibar..
 
Hakuna mtu aitwaye MTANGANYIKA....hayupo hayupo hayupo.....

Tanganyika ilikufa 1964.....

Ilikufa kifo kizuri na cha heshima kubwa kwa ajili ya mustakabali mwema wa miaka bilioni inayokuja.....

Ardhi ile tukufu ikaungana na Zanzibar kuzidi kuuinua utukufu wake....pande la ardhi hilo liwe bora na thamani zaidi ya hapo mwanzo.....

#Tanzania kwanza
Wacha muneno
 
Baba yake amezikwa Zanzibar wewe...huoni kuwa ni Mzanzibari??🤣🤣🤣
Kwani 'waswahili' lazima wazikwe kwao? Wale sio wachagga, wahaya au wajaluo. Ndio maana mwinyi sr mswahili wa mkuranga amezikwa Zanzibar.
 
Hakuna mtu aitwaye MTANGANYIKA....hayupo hayupo hayupo.....

Tanganyika ilikufa 1964.....

Ilikufa kifo kizuri na cha heshima kubwa kwa ajili ya mustakabali mwema wa miaka bilioni inayokuja.....

Ardhi ile tukufu ikaungana na Zanzibar kuzidi kuuinua utukufu wake....pande la ardhi hilo liwe bora na thamani zaidi ya hapo mwanzo.....

#Tanzania kwanza
Ila mzanzibari yupo? The unakaiita kifo cha heshima this is bullshit
 
Hakuna mtu aitwaye MTANGANYIKA....hayupo hayupo hayupo.....

Tanganyika ilikufa 1964.....

Ilikufa kifo kizuri na cha heshima kubwa kwa ajili ya mustakabali mwema wa miaka bilioni inayokuja.....

Ardhi ile tukufu ikaungana na Zanzibar kuzidi kuuinua utukufu wake....pande la ardhi hilo liwe bora na thamani zaidi ya hapo mwanzo.....

#Tanzania kwanza
Tanganyika +zanzibar=tanzania.
Ila kuna Tanzania na zanzibar.
Kwann sasa isingekufa tanganyika na zanzibar ikazaliwa Tanzania pekee.

kuna ukweli flan huwa hausemwi katika huu Muungano
 
Naomba nipate ufafanuzi wa kisheria hivi mtu kutoka Tanzania bara yaani Mtanganyika anaweza kwenda kugombea urais Zanzibar?
Sio tu kwamba anawza, bali ishatokea na ndivyo ilivyo. Angalia:-
1. Aboud Jumbe Mwinyi
2. Ali Hassan Mwinyi
3. Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi.
 
Hakuna mtu aitwaye MTANGANYIKA....hayupo hayupo hayupo.....
Kabla ya 1964 waliokuwa wakiishi Tanganyika na walizaliwa kabla ya April 26, 1964 waliitwaje?
Tanganyika ilikufa 1964.....
Baada ya kufa ilizikwa wapi na watanganyika waliokuwepo walizikwa wapi?
Ilikufa kifo kizuri na cha heshima kubwa
Kifo cha heshima ni kipi?
kwa ajili ya mustakabali mwema wa miaka bilioni inayokuja.....
Huo mustakabali ni kwa faida ya nani?
Ardhi ile tukufu ikaungana na Zanzibar kuzidi kuuinua utukufu wake....
Utukufu ni nini?

Utajuaje ardhi ni tukufu na ipi sio tukufu?
pande la ardhi hilo liwe bora na thamani zaidi ya hapo mwanzo.....

#Tanzania kwanza
Hilo pande la ardhi wamiliki wake ni nani?
 
😃 uko kwenye urais umefika mbali sana usheha/M/Kiti wa mtaa tu kama sio mzanzibar hupatii
Wazanzibari asili yao ni huku bara, kuna wamakonde, wazigua, wachagga na makabila mengi tu ya bara.

Kuanza kuwatazama kwa akili za wao na sisi ni ubaguzi, dhambi ya ubaguzi ukianza ni sawa na kula nyama ya mtu inakutafuna vilivyo.
 
Back
Top Bottom