Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Wewe umeonesha ukomavu sana na ndio namna biashara inataka ila wapuuzi wengi hukimbilia kumkomoa mteja.Hapana mkuu,
Jibu la endelea kutafuta mwenyewe sababu mmeshindwana itaonekana hujaridhika na una hasira.
Mimi nilipata mteja zaidi ya dk20 anashusha nguo after there akaniambia anhaa mbona bei kubwa nikamwambia boss nikishuka zaidi ya hapa nitaumia mimi akasema haya basi poa, nikamwambia karibu sana boss Kama hutojali naomba namba yako uwe unaangalia mzigo naopost.
Akaniachia namba after a week jamaa alirudi, in reality lazima uumie lakini upaswi kumuonyesha mteja, alinunua jinzi, tshirt, na sendo nikampa hesabu alitumia almost 68000.
Akasema bro nimependa sana unavyoongea, mpaka sasa ni mteja wangu sana, anaweza kuchukua nguo ikapelea pesa nikampa na anarudisha ndani ya muda alioahidi.
Anakujibu sijui ili kukukomoa flani. Au katafute mwenyewe huo ni ushamba.