Hivi mteja kama huyu unamjibuje?

Hivi mteja kama huyu unamjibuje?

Hapana mkuu,
Jibu la endelea kutafuta mwenyewe sababu mmeshindwana itaonekana hujaridhika na una hasira.

Mimi nilipata mteja zaidi ya dk20 anashusha nguo after there akaniambia anhaa mbona bei kubwa nikamwambia boss nikishuka zaidi ya hapa nitaumia mimi akasema haya basi poa, nikamwambia karibu sana boss Kama hutojali naomba namba yako uwe unaangalia mzigo naopost.

Akaniachia namba after a week jamaa alirudi, in reality lazima uumie lakini upaswi kumuonyesha mteja, alinunua jinzi, tshirt, na sendo nikampa hesabu alitumia almost 68000.

Akasema bro nimependa sana unavyoongea, mpaka sasa ni mteja wangu sana, anaweza kuchukua nguo ikapelea pesa nikampa na anarudisha ndani ya muda alioahidi.
Wewe umeonesha ukomavu sana na ndio namna biashara inataka ila wapuuzi wengi hukimbilia kumkomoa mteja.

Anakujibu sijui ili kukukomoa flani. Au katafute mwenyewe huo ni ushamba.
 
Nimejifunza kitu hapa
🙏 shukran. Kupata mteja mara moja saa zingine siyo suala kubwa, ni muhimu pia kumfanya mtu atamani kuwa mteja wako baadae, na pia pale upatapo mteja, aendelee kuwa mteja wako mara kwa mara.
 
Wewe umeonesha ukomavu sana na ndio namna biashara inataka ila wapuuzi wengi hukimbilia kumkomoa mteja.

Anakujibu sijui ili kukukomoa flani. Au katafute mwenyewe huo ni ushamba.
Mm nahisi ni vile mteja anamface customer care ndivyo anavyopata jibu murua wateja wengine ni wateja vichaa anakuja akiwa kajipanga ukimjibu shida ukikaa kimya pia shida all in all customer care ni kipaji pia
 
Kama hauna calmness na empathy hufai kuwa kitengo cha huduma kwa wateja. Ni vile tu bongo ukiwa na cheti tu unawekwa kokote ila kwenye ku screen out watu sahihi wa customer service nafikiria kwetu 75% ya wahudumu kwa wateja hawakupaswa kuwepo hapo.
 
[emoji120] shukran. Kupata mteja mara moja saa zingine siyo suala kubwa, ni muhimu pia kumfanya mtu atamani kuwa mteja wako baadae, na pia pale upatapo mteja, aendelee kuwa mteja wako mara kwa mara.
Nimekupata mkuu ili uone mteja ni wa muhimu ushinde kwanzia asibuhi hadi jioni bila mteja uone balaa lake
 
Kama hauna calmness na empathy hufai kuwa kitengo cha huduma kwa wateja. Ni vile tu bongo ukiwa na cheti tu unawekwa kokote ila kwenye ku screen out watu sahihi wa customer service nafikiria kwetu 75% ya wahudumu kwa wateja hawakupaswa kuwepo hapo.
Bongo nyoso japo cjawai kuhudumia nje lkn najiambia huenda huko kwa wenzetu wateja pia wana calmness means wana waapproach cares wao kistaaraabu mfano rahisi chukulia mteja aende makao makuu ya kitengo cha huduma husika anavokuwa mpole tofauti na akiwa anataka huduma hiyohiyo kwa wakala binafsi mtaani
 
Mteja asili yake ni msumbufu tu, anaweza akawa msumbufu wa hisia, kauli au vitendo. Mtoa huduma unatakiwa kuwa kama shock absorber. Yani unajigeuza cushion ili kuendana na jins mteja alivyo.

Sasa wabongo wengi hawapendi hio attitude ya usumbufu. Ukishakuwa hivyo wewe sio mtu sahihi wa customer service. Mteja anaweza akawa anaomba kueleweshwa jambo tu ila mtoa huduma kashavuta mdomo akikutana na watu wa 3 wa aina hio anamvuruga kuanzia mtu wa 4 na kuendelea.
 
Mkuu hujawai kukutana na mteja kichaa, hayo maneno unayosema [emoji817] ni ya kweli ila sometimes huwa not applied to some customers jibu la mwisho kwa customer care huwa ni kukaa kimya ili azime moto
 
Sasa wangapi wanajua kukaa kimya bila kupandisha munkari?
 
Mteja asili yake ni msumbufu tu, anaweza akawa msumbufu wa hisia, kauli au vitendo. Mtoa huduma unatakiwa kuwa kama shock absorber. Yani unajigeuza cushion ili kuendana na jins mteja alivyo.

Sasa wabongo wengi hawapendi hio attitude ya usumbufu. Ukishakuwa hivyo wewe sio mtu sahihi wa customer service. Mteja anaweza akawa anaomba kueleweshwa jambo tu ila mtoa huduma kashavuta mdomo akikutana na watu wa 3 wa aina hio anamvuruga kuanzia mtu wa 4 na kuendelea.
Kuna kipindi nimefanya kazi ya uwakala wa mitandao nikamtolea mteja ela nakumbuka ilikuwa elf40 voda wakakata 2,700 na something sasa nampa ela akaanza kusema mbona wewe unakata ela nyingi

Nikamuelewesha kuwa hizo ni ada za voda sio mimi na karatasi nikamuonesha pamoja na sms lkn shida ikawa hajui kusoma basi akaanza kupiga kelele anataka ela yake hadi watu wakajaa huku mimi nikiwa kimya

Basi akatoka akaenda hadi serikali za mitaa(alikuwa mama wa makamo) huku simu na ela vyote kaacha mwishoe namuona anakuja akanambia naomba simu yangu nikampa pamoja na ela akaondoka
 
Kuna mwingine nae nilimtumia ela kwa bahati mbaya ikawa haijaenda kwa sababu za kimtandao doh! Badala ya kurudi kuja kuuliza kapitia serikali za mitaa kaenda kwa mwenyekiti kushtaki eti katuma ela haijaenda kwaiyo nimemtapeli

Yaani unajikuta automatically unapanic maana kaja na rundo la watu na police jamii wakiongozwa na mwenyekiti aisee!
 
Kwanini mkuu, wewe ungemjibuje
Unajua km customer care ni kazi ama professional ya mtu, sasa wewe kama unajiita ni customer care halafu unashindwa kuumpa jibu dogo huyo mteja wako, na unakuja huku kuuliza inanitia shaka kidogo na kazi yako

Lazima uwe na manene mengi yakumshawishi mteja wako mpaka yeye aamuwe mambo 2, moja kununua bidha yako au aseme sasa sina fedha ila nitarudi.
Customer care hana tofauti na sales manager maana hawa ndio watu wanaoamua kampuni iwe na wateja wengi au wachache
 
Bora huyo alijiongeza kwenda kutafuta mwenyewe je angekuuliza sehemu nyingine ni wapi penye bei nafuu ungemjibuje mkuu
Kuna za kichina bei nafuu paleeee, nampa na bei ambayo hawatamuuzia akienda analazimisha bei niliyompa.
 
Hivi mteja mpya ameulizia bidhaa ukamtajia bei mkaja mkashindwana bei anakuuliza sehemu nyingine ni wapi?

Wewe kama customer care unamjibuje!
Unamuelekeza kilipo kituo cha polisi
 
Back
Top Bottom