Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madam tuendelee kuombeleza.Wala usikasirike, mjibu tu kwamba hujui.
Au kama kuna sehemu unajua wanauza bei ghali kukuzidi muelekeze hapo.
Kwenye nini Mkuu?Madam tuendelee kuombeleza.
Ndugu yetu mollel kila nikiangalia ile vdeo naona maumivu kabisaKwenye nini Mkuu?
Aiseee acha. Nimepata machungu sana jioni hii.Ndugu yetu mollel kila nikiangalia ile vdeo naona maumivu kabisa
Kama mmeshindwana bei si basi!!Hivi mteja mpya ameulizia bidhaa ukamtajia bei mkaja mkashindwana bei anakuuliza sehemu nyingine ni wapi?
Wewe kama customer care unamjibuje!
Hapana mkuu,Unamwambia "AENDELEE KUTAFUTA MWENYEWE".
BIASHARA NI KIPAJI AISEE!
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Huyo wako hajakuuliza aende wapi sehem nyingine wanapouza kwa bei nafuu?Hapana mkuu,
Jibu la endelea kutafuta mwenyewe sababu mmeshindwana itaonekana hujaridhika na una hasira.
Mimi nilipata mteja zaidi ya dk20 anashusha nguo after there akaniambia anhaa mbona bei kubwa nikamwambia boss nikishuka zaidi ya hapa nitaumia mimi akasema haya basi poa, nikamwambia karibu sana boss Kama hutojali naomba namba yako uwe unaangalia mzigo naopost.
Akaniachia namba after a week jamaa alirudi, in reality lazima uumie lakini upaswi kumuonyesha mteja, alinunua jinzi, tshirt, na sendo nikampa hesabu alitumia almost 68000.
Akasema bro nimependa sana unavyoongea, mpaka sasa ni mteja wangu sana, anaweza kuchukua nguo ikapelea pesa nikampa na anarudisha ndani ya muda alioahidi.
Ananiuliza tena ninatoka na kumuelekeza kabisa.Huyo wako hajakuuliza aende wapi sehem nyingine wanapouza kwa bei nafuu?
Customer care inahitaji uvumilivu na hekima muda mwingine.Hivi mteja mpya ameulizia bidhaa ukamtajia bei mkaja mkashindwana bei anakuuliza sehemu nyingine ni wapi?
Wewe kama customer care unamjibuje!