Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Unamjibu tu angalia duka linalofuata hata kama ni la tofauti na kile anachohitaji.
Nyie hamfai kumbe hii code language. Si tunajadili mnatuchora tu[emoji2089][emoji2089]Madam tuendelee kuombeleza.
Karipoti kakuibia aje akute MOST WANTED akikuuliza mwambie nimewauzia police[emoji23][emoji23][emoji23]wataje bhana.
Kuna mmoja aliweka oda ya kuchongewa picha mbao sasa kazi yake ishaisha ananiambia niiuze iv sasa nani atanunua picha mbao yenye sura ya mtu mwingine seriously [emoji848][emoji57]
View attachment 2845877
Hahahah, ni kupiga chini tu mkuu😂Karipoti kakuibia aje akute MOST WANTED akikuuliza mwambie nimewauzia police
Simba kufungwa bao moja na WaydadaKwenye nini Mkuu?
Mkuu umetafsiri vbaya hahahNyie hamfai kumbe hii code language. Si tunajadili mnatuchora tu[emoji2089][emoji2089]
Kuna wateja wengine wanauliza kwa ustaarabu hadi watamani umsindikize kwa mpinzani wako lkn wengine pasua kichwaWakati mwingine kuwa tu mpole, yawezekana namna unavyomuhandle huyo mtu akaja akawa mteja wako mzuri tu.
Kuna siku niko sehemu kama mteja, akaingia mama mtu mzima akaulizia kitu ila wakashindwana bei. Akamuuliza muuzaji 'naweza pata wapi tena kama hii'? Muuzaji akamuelekeza vizuri tu, yule mama kwenda kule akakuta tofauti ya bei ni sh elfu tatu tu. Akarudi kwa yule wa kwanza na kumwambia nimekuta tofauti ya bei ni ndogo sana na kwa namna ulivyonitreat vizuri nimeaona ni busara nije nikuungishe tu wewe. Akanunua vitu karibia vya laki 3.
Wee jamaa una roho mbaya, hufai kutumwa kumpelekea mgonjwa uji, uko tayari kunywa uji wa mgonjwa hata akifa hakuna shida.Kuna siku Niko kwa Pharmacy yangu na Vijana wenzangu wanaoniuzia.
Akaja jamaa analalama kutokua sawa Kiafya.
Ilibidi nmsikilize Mimi , Kisha nikamwambia dawa zipo hapa, Bei yake ni kiasi fulan.
Jamaa akasema daaah Bei kubwa, ni wapi nitaweza zipata ?.
Nikamwambia , Mmhhh Kwa maeneo haya Sidhan ila ngoja nikuandikie .
Nikaandika majina yauongo ya zile dawa .
Alizunguka Kuanzia saa kumi jion mpaka saa 12 kasoro, akarudi tena Kwangu mie nimeshaondoka, jamaa wakanipigia simu, mteja wako karudi.
Nikamwambia mpeni dawa Fulani Fulani.
Kwenye Biashara , USITHUBUTU KAMWE KUMUONYESHA AU KUMUELEKEZA MTEJA KUA NENDA SEHEM FULAN UTAPATA KITU UNACHOTAKA .
Kama unajuwa sehemu nyingine unamtajia. Kama hujuwi unamwambia kweli.Hivi mteja mpya ameulizia bidhaa ukamtajia bei mkaja mkashindwana bei anakuuliza sehemu nyingine ni wapi?
Wewe kama customer care unamjibuje!
Sio kwa mteja kichefuchefu yaani kashachefukwa kabla ajajaKama unajuwa sehemu nyingine unamtajia. Kama hujuwi unamwambia kweli.
As a customer care hutakiwi kudanganya hata kidogo. Kuwa mkweli ndipo utapojenga "reputation" ya biashara yako. Usiogope kumtaji hata kama ni washindani wako, kwani hukujipanda kuukabili ushindani?
Safi sana,wewe ni mfanyabiashara halisiHapana mkuu,
Jibu la endelea kutafuta mwenyewe sababu mmeshindwana itaonekana hujaridhika na una hasira.
Mimi nilipata mteja zaidi ya dk20 anashusha nguo after there akaniambia anhaa mbona bei kubwa nikamwambia boss nikishuka zaidi ya hapa nitaumia mimi akasema haya basi poa, nikamwambia karibu sana boss Kama hutojali naomba namba yako uwe unaangalia mzigo naopost.
Akaniachia namba after a week jamaa alirudi, in reality lazima uumie lakini upaswi kumuonyesha mteja, alinunua jinzi, tshirt, na sendo nikampa hesabu alitumia almost 68000.
Akasema bro nimependa sana unavyoongea, mpaka sasa ni mteja wangu sana, anaweza kuchukua nguo ikapelea pesa nikampa na anarudisha ndani ya muda alioahidi.
Roho mbaya tu,kwanza huyo mteja alikuwa mjinga wewe mfamasia unaniandikiaje dawa mm afu nikubali kizembe zembe.Kuna siku Niko kwa Pharmacy yangu na Vijana wenzangu wanaoniuzia.
Akaja jamaa analalama kutokua sawa Kiafya.
Ilibidi nmsikilize Mimi , Kisha nikamwambia dawa zipo hapa, Bei yake ni kiasi fulan.
Jamaa akasema daaah Bei kubwa, ni wapi nitaweza zipata ?.
Nikamwambia , Mmhhh Kwa maeneo haya Sidhan ila ngoja nikuandikie .
Nikaandika majina yauongo ya zile dawa .
Alizunguka Kuanzia saa kumi jion mpaka saa 12 kasoro, akarudi tena Kwangu mie nimeshaondoka, jamaa wakanipigia simu, mteja wako karudi.
Nikamwambia mpeni dawa Fulani Fulani.
Kwenye Biashara , USITHUBUTU KAMWE KUMUONYESHA AU KUMUELEKEZA MTEJA KUA NENDA SEHEM FULAN UTAPATA KITU UNACHOTAKA .
mbona walikufa wawili lakini mmekomaa na mmoja tu au ndo nyota mpaka kwenye kufa?Ndugu yetu mollel kila nikiangalia ile vdeo naona maumivu kabisa