Hivi, Mtoto Akishikwa Matiti Yanakuwa Makubwa Tofauti na Asiposhikwa Shikwa au Sio Kweli...?

Ni maumbile mkuu tu hakuna uhusiano na kushikwa wala kugongwa gongwa ,hata hawa wake zetu wanadanganyana eti mtoto akinyonya yanapwelepweta wakati ni uongo mtupu ,wakijifungua maziwa lazima yajae/kutanuka kwa ajili ya kuhifadhi chakula ya mtoto.

Hii ni kitaalamu au kimazoea mkuu...?
 
Kibiologia,mwili hubadilika sn kutokana na vyakula,maisha (stress free or not),kujamiiana.
Hili la mwisho vijana wengi ndio hufanya km vyakula, kuhusu maziwa(sijui kiswahili fasaha nikipi),mapenzi huchangia sn plus vyakula km unakula vyakula vyaprotein mwili lazima ubadilike tu.
 

Yaani maziwa yalikuwa makubwa yakarudi kuwa madogo mkuu...?
 

Kwa hiyo kumshika shika Binti Matiti kunachangia kuyafanya yawe makubwa kwa haraka kiongozi...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…