Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Ongea tu nina mkalimani wangu.Hautanielewa mzawa maana kiingereza chako bado ni hafifu sana. Maana kama hapa nimeswitch code tu umemangamanga na kulalamika...vipi nikiamua kucundulaligates the whole English vocabularies with Cagonokasibility? [emoji23] [emoji23]
Ni kweli. Ila wa kwangu sitakubali awe hivyo akiwa na umri mdogo chini ya miaka 20. Yaani nimtandika dunia nzima ijue na jela nitampeleka. Akiwa above 20 nitaishia tu kumshauri najua atanishinda tu.Bila hao hakuna raha duniani
[emoji38][emoji38][emoji38]...kabisa mkuu nikipata watu kama ww angalau tutabadilisha zaid ya wanajamii hapaHuyo ni viboko tu
Ila saiv haki za binadamu tutaozea jera democras inabana[emoji38][emoji38][emoji38]...kabisa mkuu nikipata watu kama ww angalau tutabadilisha zaid ya wanajamii hapa
Wanamuombea afanyeje?Anaweza kuwa nao,tena usikute wanakesha na kumuombea usiku na mchana.
hakikaIla saiv haki za binadamu tutaozea jera democras inabana
Code switching sio dhambi na ipo kihalali kabisa kwaiyo hujazuiwaBasi ongea kingereza kitupu itapendeza zaidi.
Saiv kila mtu kuchunga familia yako nyumbani kipindi tunakua sisi mkubwa yoyote alikua na haki kukuazibu endapo upo na kosa lolote sehemu yoyotehakika
Mwenzio ndio kaendelea hivyo.Mkuu kuongea kiswahili moja kwa moja bila mseto huwezi?
Kwaiyo mtoto hawezi OSHA masefuria?Umejuaje huyo ni mtoto vidole vimekomaaa hivo kama anaosha masefuria ya Vingunguti
hivi umeelewa nilichomaanisha??Kwaiyo mtoto hawezi OSHA masefuria?
Kwanza tukubaliane kuwa malezi yanachangamoto kubwa..!! Binafsi nilikuwa na mtazamo km huu wa kwako kabla sijapata watoto. Aisee,nna kijana tena wa kiume alivyonisumbua ni afadhali huyu unayemuona hapo angekuwa ndo mwanangu..!! Bahati nzuri ni kwamba,huyu pesa anazofanyia hayo yote ni zake mwenyewe na nna amini hata wazazi wake(hasa mama anawapa).hivi kuna mzazi mwenye akili timamu anaweza muona mwanae yuko uchi hivyo akafurahia kama hawa wajinga wengine huku jukwaani