Mwanamke kupenda ni sawa na mhasibu kufanya usafi badala ya mahesabu kwenye kampuni yaani ni kiherehere na kufanya yasiyokuhusu.
Mwanaume ndie anatakiwa kumpenda mwanamke ili ajitoe kumtunza na kuishi nae. Mwanamke anatakiwa kusikiliza maelekezo ya mwanaume na kwenda na upepo wake.
Wanawake hawachagui kwa kupenda sababu hawajaumbiwa ufahamu wa kubaini mwanaume wa kuwafaa ama la. Wanawake ukisikia anasema amependa muulize umependea nini utasikia pumba atakazoanza kuongea.
Wanawake wengi hutumia sifa na vigezo vya wanawake wengine wanavyosifia kwenye mijadala yao. Mwanamke anachagua mwanaume ambaye atakuwa bakora kwa wanawake wenzake akiwatambishia wampe heshima yake kama mwanamke wa shoka. Mfano atataka mwanaume mrefu wa kimo, rangi nzuri ya ngozi inategemea wenzake wanasifia sana ipi nyeupe au nyeusi, misuli, pesa, gari anayotumia, sehemu anaishi, utajiri wake na kadhalika, hivi vyote vikicheck kwa mwanaume m'moja then anauhakika wa kuscore points nyingi za heshima kwa wanawake wenzake. Kinyume na hapo akichukua wa kawaida itamletea dharau na kushushwa vyeo na wenzake na hatokuwa comfortable akikaa nao.