Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Jamaa amevunja mgagi.Kuna zile rafu za makusudi na zilizodhamiria kujeruhi. Mtu akicheza rafu kama hiyo kwenye mpira wa miguu au mchezo wowote ule, anaweza kushtakiwa mahakamani kama mhalifu?
View: https://www.instagram.com/reel/C5E8G_TsS26/?igsh=MXg3dzh1YTNrZ2xnNQ==
Hata rafu yake ya "makusudi" ikisababisha kifo?Hapana sheria za soccer ndio zinamlinda na kumuadhibu mchezaji anapokua uwanjani.
Asante
Mkuu ungerudi jukwaa la mahusiano ukaendelee na misemo ya ikiuma sema. Hapa tunajaribu kudadavua sheria za soka.Ndio.....njoo mazoezini we mla chips nikutie bonge la buti uende mahakamani hakika nitafungwa kwa rafu mbaya.......hiki kizazi kina watoto wakike walio na jinsia ya kiume