Mk54
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,996
- 3,950
Wajuzi naomba msaada.
Ndugu kafa. Ana akaunti benk ila password hazijulikani pia ana mpesa na pesa zipo ila no password. Mkewe ana dealth certificate. Atapataje pesa za mmewe? Pia ana cheti cha ndoa.
Msaada
Ila mimi hii hoja nimeiangalia kwa masikitiko sana na namna ya Maisha ya sasa yanavyokwenda.
Ni dhahiri kwamba mahusiano ya ndoa mengi hayana mpango chochote. Yaani watu wanaishi siku ziende.
How could that be mke hajui password ya Mpesa ya Mume wake ? How could that be mke au mume hajui ATM password ya mwenzi wake ?
Kuliko kuishi maisha ya kipumbavu kama hayo ni bora nisiwe na mwanamke.
Ninachojua mimi Mke wako au Mume wako ndio mtu wa kwanza Kwenye maisha yako kujua hizo details. It is such a shame mtu kufungua thread na kutuambia mke hajui password za ATM na MPESA. Huu ni WIZI unataka kufanyika. Na ndugu wa Marehemu watizame hili suala kwa karibu ; huenda kuna kitu bado hakipo sawa.
Ungesema utaratibu wa kufuatilia Mali za Marehemu kama vile Majumba, Viwanja, pesa zake ndani ya Bank n.k ingekuwa ni SAWA kuomba Ushauri na utaratibu.
But Akaunti ya MPESA au ATM , mke hajui, that is shame!
Yaani Mimi kama huyo aliyekufa ni kaka yangu; literally mwanamke atachukua share ndogo sana maana sioni kama ni Mtu mwenye akili ikiwa hujui hizo details za mtu unaelala nae kitanda kimoja na probably mna watoto . USELESS!
Anyway, .... tambua Mahakamani haitokuwa peke yako, bali ni familia halisi ya marehemu. Ndugu zake pamoja na watoto, wazazi kama wapo hai ambao watapewa nafasi pia.
maisha hayawezi kuwa so simple Kwenye hiyo chain.