Hivi mtu akifanya hivi anakuwa anakupenda?

Kipindi nipo form three kulikuwa na mdada tunasoma darasa moja lakini yeye alikuwa bweni mimi kutwa.

Alikuwa akiniomba zawadi namletea kama rafiki.

Lakini cha kushangaza nikwamba alikuwa akitongozwa kwa sababu alikuwa mzuri lakini cha kushanga kila akitongoza alikuwa anakuja kushitaki kwangu mimi na kunituma nikawambie wanaume wenzangu wasimsumbue.ilikuwa ni mwaka 2O19

Swali nije alifanya hivyo kwa kuwa alikuwa ananipenda au kuna sababu nyingine?

Naomba majibu yenu wana jf.

Concentrate na maisha, hawa wanawake achana nao, Hata Babu yako alikiri haijawahi waelewa!
 
Kweli JF ni ya watoto sasa hivi yaan 2019 ulikuwa form 3 😂😂, na saizi mpo likizo
 
Soma soma soma kijana masiku yanabadilika wazuri wazidi kuzaliwaa na Dunia nayo yazidi badilika, sikilza wimbo wa sauti soul unaitwa soma
 
Acha wawepo wajifunze

Ni vizuri wajifunze, ila wengine wanaleta hoja pointless mtoa Post amesema yupo chuo sijui chuo kikuu au hivi vya Kati.
Analeta hoja ya mahusiano ya sekondari .
Sasa hapo tumfundishe nini mkongwe kama mimi.
Labda tu ni mshauri the past have gone he should focus on the present and future.
Pia namshauri azingatie elimu, mimi binafsi elimu ya darasani imenisaidia sana namshukuru Mungu Kwa kuniwezesha kuwa makini wakati nikiwa mwanafunzi.
So bwana mdogo nakushauri concentrate na masomo achana na mapenzi kwa sasa.
Juzi nimesoma kakijana ka DIT kamejiua kwa kujirusha ghorofani ikisemekana ni kutokana na masuala ya mahusiano ya kimapenzi
 
Sasa si ukamuulize
Kipindi nipo form three kulikuwa na mdada tunasoma darasa moja lakini yeye alikuwa bweni mimi kutwa.

Alikuwa akiniomba zawadi namletea kama rafiki.

Lakini cha kushangaza nikwamba alikuwa akitongozwa kwa sababu alikuwa mzuri lakini cha kushanga kila akitongoza alikuwa anakuja kushitaki kwangu mimi na kunituma nikawambie wanaume wenzangu wasimsumbue.ilikuwa ni mwaka 2O19

Swali nije alifanya hivyo kwa kuwa alikuwa ananipenda au kuna sababu nyingine?

Naomba majibu yenu wana jf.
 
Kipindi nipo form three kulikuwa na mdada tunasoma darasa moja lakini yeye alikuwa bweni mimi kutwa.

Alikuwa akiniomba zawadi namletea kama rafiki.

Lakini cha kushangaza nikwamba alikuwa akitongozwa kwa sababu alikuwa mzuri lakini cha kushanga kila akitongoza alikuwa anakuja kushitaki kwangu mimi na kunituma nikawambie wanaume wenzangu wasimsumbue.ilikuwa ni mwaka 2O19

Swali nije alifanya hivyo kwa kuwa alikuwa ananipenda au kuna sababu nyingine?

Naomba majibu yenu wana jf.
An
 
Asanteni kwa ushauri.pia samahanini kwa kudanganya baadhi ya vitu, lakini nimejifunza kitu muhimu sana.
 
Kipindi nipo form three kulikuwa na mdada tunasoma darasa moja lakini yeye alikuwa bweni mimi kutwa.

Alikuwa akiniomba zawadi namletea kama rafiki.

Lakini cha kushangaza nikwamba alikuwa akitongozwa kwa sababu alikuwa mzuri lakini cha kushanga kila akitongoza alikuwa anakuja kushitaki kwangu mimi na kunituma nikawambie wanaume wenzangu wasimsumbue.ilikuwa ni mwaka 2O19

Swali nije alifanya hivyo kwa kuwa alikuwa ananipenda au kuna sababu nyingine?

Naomba majibu yenu wana jf.
2019 form three , alooo JF imevamiwa na watoto , bila shaka uko likizo kijana piga sana tuition😁
 
Back
Top Bottom