Hivi mtu akifanya hivi anakuwa anakupenda?

Hivi mtu akifanya hivi anakuwa anakupenda?

Kipindi nipo form three kulikuwa na mdada tunasoma darasa moja lakini yeye alikuwa bweni mimi kutwa.

Alikuwa akiniomba zawadi namletea kama rafiki.

Lakini cha kushangaza nikwamba alikuwa akitongozwa kwa sababu alikuwa mzuri lakini cha kushanga kila akitongoza alikuwa anakuja kushitaki kwangu mimi na kunituma nikawambie wanaume wenzangu wasimsumbue.ilikuwa ni mwaka 2O19

Swali nije alifanya hivyo kwa kuwa alikuwa ananipenda au kuna sababu nyingine?

Naomba majibu yenu wana jf.
Hakuwa mjinga alikuwa anataka umtongoze akimaanisha anatongozwa sana hivyo kaluwekea amana wewe ukizingua anadonload mwingine
Hahaha
 
Back
Top Bottom