Hivi mtu akifanya hivi anakuwa anakupenda?

miaka yoote ndio ulikua unajiuliza huo ujinga sasa umeona utushirikishe sio
 
Doooh form 3 mwaka 2019 wakati mimi form 3 ilikuwa mwaka 1983, kweli nimezeeka
 
Hakuwa mjinga alikuwa anataka umtongoze akimaanisha anatongozwa sana hivyo kaluwekea amana wewe ukizingua anadonload mwingine
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…