ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Naombeni tu nijue nini kitatokea kwa mfano nimekopea nyumba ambayo wanakaa wapangaji halafu nikalipa kidogo tuseme nusu halafu nikajifanya nimekufa nikajizika na kujiwekea kaburi..kisha nikasafiri mbali..wakija watu wa bank kunitafuta kwa wapangaji wakaambiwa huyu mtu ni marehemu na wakaenda kuonyeshwa mpaka kaburi watafanyaje je nyumba familia yangu watapokonywa ipigwe mnada au italipia bima ya mkopo??