Hivi mtu akikopa hela kwa dhamana ya nyumba halafu akajifanya amekufa je bank itaichukua hio nyumba?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Naombeni tu nijue nini kitatokea kwa mfano nimekopea nyumba ambayo wanakaa wapangaji halafu nikalipa kidogo tuseme nusu halafu nikajifanya nimekufa nikajizika na kujiwekea kaburi..kisha nikasafiri mbali..wakija watu wa bank kunitafuta kwa wapangaji wakaambiwa huyu mtu ni marehemu na wakaenda kuonyeshwa mpaka kaburi watafanyaje je nyumba familia yangu watapokonywa ipigwe mnada au italipia bima ya mkopo??
 
Ndiyo, mradi uijulishe ndani ya saa 24 tangu ulipofariki
 
Naombeni tu nijue nini kitatokea kwa mfano nimekopea nyumba ambayo wanakaa wapangaji halafu nikalipa kidogo tuseme nusu halafu nikajifanya nimekufa nikajizika na kujiwekea kaburi..kisha nikasafiri mbali..wakija watu wa bank kunitafuta kwa wapangaji wakaambiwa huyu mtu ni marehemu na wakaenda kuonyeshwa mpaka kaburi watafanyaje je nyumba familia yangu watapokonywa ipigwe mnada au italipia bima ya mkopo??
Inategemea na mkataba, kama kwenye mkataba mkopo unaonyesha Kuna bima basi ukifa dhamana yako haitaguswa au hata ukipata ulemavu wa kudumu ambao utakufanya ushindwe kutekeleza majukumu yako kwa ufanisi basi mkopo huo utafutwa
Hivi sasa benki kubwa zote mikopo Iko insured
 
Back
Top Bottom