ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
kiufupi tabu iko palepaleUkikopa unaulizwa swali je unawadhamini? kama unawadhamini inamaana ukifa wale ndugu zako yaani wadhamini watakuja kusimamia uuzwaji wa nyumba asante
Ndiyo, mradi uijulishe ndani ya saa 24 tangu ulipofarikiNaombeni tu nijue nini kitatokea kwa mfano nimekopea nyumba ambayo wanakaa wapangaji halafu nikalipa kidogo tuseme nusu halafu nikajifanya nimekufa nikajizika na kujiwekea kaburi..kisha nikasafiri mbali..wakija watu wa bank kunitafuta kwa wapangaji wakaambiwa huyu mtu ni marehemu na wakaenda kuonyeshwa mpaka kaburi watafanyaje je nyumba familia yangu watapokonywa ipigwe mnada au italipia bima ya mkopo??
Inategemea na mkataba, kama kwenye mkataba mkopo unaonyesha Kuna bima basi ukifa dhamana yako haitaguswa au hata ukipata ulemavu wa kudumu ambao utakufanya ushindwe kutekeleza majukumu yako kwa ufanisi basi mkopo huo utafutwaNaombeni tu nijue nini kitatokea kwa mfano nimekopea nyumba ambayo wanakaa wapangaji halafu nikalipa kidogo tuseme nusu halafu nikajifanya nimekufa nikajizika na kujiwekea kaburi..kisha nikasafiri mbali..wakija watu wa bank kunitafuta kwa wapangaji wakaambiwa huyu mtu ni marehemu na wakaenda kuonyeshwa mpaka kaburi watafanyaje je nyumba familia yangu watapokonywa ipigwe mnada au italipia bima ya mkopo??