Hivi mtu akiua mtu aliyemfumania na Mke/Mume sheria inasemje?

Hivi mtu akiua mtu aliyemfumania na Mke/Mume sheria inasemje?

Inategemea umeuaje. Kuna kuua kw bahati mbaya na makusudi.
1. kuua kwa bahati mbaya mfano umesafiri unarudi nyumbani ghafla na mkukuta mkeo na mwanaume wamelala kwako. Kukawa na kitu chochote karibu ukakitumia Kama siraha utakuwa umeua bila kukusudia.
2. Kwa kuksudia. Unakisia kuwa mke wako ana hawala ukaweka mtego au ukawavizia huku ukiwa umejiandaa kwa mauaji hapo umekusudia.
 
Ukimfumania mkeo waruhusu waone
Muda huo jitahidi kupunguza mhemuko wa hasira.
Ili ufanikiwe hivyo lazima uwe unajua kuwa Mke wako ana weza kuchepuka na mwanaume yeyote muda wowote kama Binadamu.
Ukidhani mkeo ni Malaika Utaua.
 
Back
Top Bottom