Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,955
- 2,489
Mbona hushangai binti anakubalije kuwa na mahusiano na mume wa mtu?
Swali hili linakuhusu wewe unayehubiria watu katika maamuzi ya maisha yao binafsi kama ni wajinga wasio na taarifa.Wote wanaovuta sigara ni wajinga wasio na taarifa??
Hii ni hatari kisayansiNimesha critique hizi habari kwa kutofautisha polygamist communitues na polygamy as a personal choice kwa mtu.
I am not advocating for everybody to be polygamous.
Huelewi wapi?
Kwanza kabisa mpaka sasa, baada ya mara tatu kukuelezea, hujaelewa tofauti ya polygamy kama personal choice na polygamy kama a societal thing. Hujaelewa. Sio tu hujaelewa, hujafanya hata jitihada ya kuelewa.Hii ni hatari kisayansi
View attachment 3318836
Weka research report unayo elezea sio poroja. Pia kuna research inaonyesha wanawake wanao kaa mda mrefu bila mwanaume wananafasi kubwa ya kusumbuliwa na fibroid na saratani ya maziwa. Na mara nyingi hupoteza kabisa hali ya kujiamini. Huwa na msongo wa mawazo mda wote.Uchunguzi wa kimatibabu unadokeza athari kadhaa zinazowapata wanawake wanaoolewa mke wa tatu na kuendelea
Kwa ufupi ni kwamba, kuna athari za kisaikolojia mtu anaekubali kuolewa mke wa tatu au ne nk
- Kutojithamini na kujiona hapendwi na watu
- Anaweza kukabiliana na hisia za kutostahili, kuwa "mtu mdogo" kuliko wengine, au kuona thamani yake sio kubwa, hana kitu cha kuwafanya watu wamthamini na kuwa na hasira na watu akiona hawamthamini au kumkubali
- Wivu na ushindani
- Hata katika tamaduni ambazo mitala ni kawaida, wivu kati ya wake wenza ni jambo la kawaida sana. Wivu wa kudumu unaweza kusababisha wasiwasi na unyogovu hata anaposhughulika na watu wengine.
- Aibu ya ndani au hatia
- Hasa ikiwa uamuzi wa kuwa mke wa tatu ulisukumwa na shinikizo la nje (familia, mahitaji ya kifedha, matarajio ya jamii), anaweza kupata hatia au aibu inayoendelea, wakati mwingine akiiona jamii inamkuhumu wakati wote na kuwa na mtazamo hasi kwao
- Kupoteza hali ya utambuzi
- Ikiwa ana maadili yanayokinzana (k.m., kuamini ndoa ya mke mmoja inayotegemea upendo lakini kukubali mitala kwa ajili ya kuendelea kuishi au matarajio ya familia), mvutano wa kisaikolojia unaweza kusababisha migogoro ya muda mrefu ya kihisia na kutoridhika maishani mwake
Ni jambo jema umekubali watu wanaweza kufanya mambo pamoja na kutokuwa na faida yoyote mfano kuvuta sigara, mjadala wa pombe ni mwingine na una debates zake.Kwanza kabisa mpaka sasa, baada ya mara tatu kukuelezea, hujaelewa tofauti ya polygamy kama personal choice na polygamy kama a societal thing. Hujaelewa. Sio tu hujaelewa, hujafanya hata jitihada ya kuelewa.
Pili, hujaelewa kuwa, hata baada ya matatizo yooote, mtu bado ana uhuru wa kuchagua maisha yaje yaweje. Na mtu kuchagua kitu unachoona wewe kibaya haina maana hana taarifa. Inawezekana mna priorities tofauti.
Wewe inawezekana ukawa unataka kuishi maisha marefu ya kula mlo mmoja kama Profesa Janabi, mwingine akaona ni ujinga kuishi maisha marefu ambayo huwezi kula unachopenda, hivyo yeye anataka kuishi maisha hata kama mafupi, lakini anakula anachotaka.
Tatizo liko wapi?
Ndiyo maana kuna madaktari wengi wanajua madhara ya pombe na sigara vizuri kuliko wewe. Wanaweza kukuelezea biochemical reactions za ethanol zinazotokana na kunywa pombe, ndani ya mwili wako.
Lakini wanakunywa pombe sana, kwa maamuzi yao. Hiyo ni haki yao. Na wala usijipe ukiranja wa kuwahubiria kama mtu unayeelewa haya mambo kuliko wao. Wanaweza kukupa lecture ya kuvunja aina zote za sukari kuanzia xylitol, erythritol, sorbitol, maltitol, mannitol, isomalt, and lactitol.
Sasa kufikiri kwamba watu wanaokunywa pombe hawajui madhara ya pombe ni kuwa condescending and patronizing tu.
But that (faida) is not the point. Huelewi wapi?Ni jambo jema umekubali watu wanaweza kufanya mambo pamoja na kutokuwa na faida yoyote mfano kuvuta sigara, mjadala wa pombe ni mwingine na una debates zake.
Unafikiri ndoa za mitaala zina faida yoyote kisayansi au kijamii kwa binadamu?
Sahivi tunauana mkuu,Bora tungekuwa wastaarabu...unakuta mwenzio anakamdomo shuu... kwanini usipige🤨Wanawake WA siku hizi mnaendekeza wivu kupitiliza ndo maana mnaongea hivi
Enzi za mababu zetu mbona hayo mambo yalikuwa freshy tu
Hii ni hatari kisayansi
View attachment 3318836
Ni heri nisiolewe kabisa kuliko kuwa mke mwenzaJuzi hapa nilikuwa Uturuki. Ni nchi ya watu ambao dini yao inaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja, lakini wanawake katakata hawakubali kuwa katika ndoa ya mke zaidi ya mmoja, na wanaume wao wanaelewa hilo. Nimewaheshimu sana wanawake wa Uturuki kwa kujitambua kwa namna hii.
Hili ni jambo ambalo siku zote nimeshindwa kuwaelewa wanawake, na wala mtu asiniambie dini yangu inaruhusu. Mwanamke anakuwa katika akili gani hadi anakubali kuolewa kama mke wa pili, au wa tatu?
Kuolewa mke wa pili bado naona kama ningekuwa mwanamke nisingekubali kamwe, sasa wa tatu? Wa nne? Kwamba unakuwa na shida sana ya kupata mwanaume wako au una hali mbaya ya kiuchumi ndio ukakubali?
Na siamini kabisa kwamba yule mwanamke unaemkuta kwa huyo mumeo anafurahia kitendo cha wewe kuja kama mke wa pili au mbaya zaidi, wa tatu au wa nne.
Kwa nini wanawake hamtaki kujikomboa katika jambo hili? Sidhani kama nitamheshimu mwanamke anaekubali kuolewa mke wa tatu au wa nne; labda kidogo wa pili nitamuelewa. Mie naona kama anaekubali kuingilia ndoa ya wengine ambayo tayari ina mke mmoja au wawili kufikiri kwake hakupo sawa.
Nadhani ni Safari Sound au Marquiz waliwahi kuimba, "kama nitakuwa mke wa pili nakubali, lakini kama ni watatu sikubali hata kidogo nasikitika"
namshangaa huyo synthesiser anavyojiamini kwa kusema maneno bila ya data zo zote.Hisia tu kuna data za kuthibitisha haya?
na wewe unazo hizo akili?Mwanamke hajawahi kumuliki akili
Kuoa na kuolewa ni jambo la hiyari sio la lazima hata dini hailazimishi unaweza kuo au kuolewa na pia unaweza kukataa kuoa au kuolewa mpaka unakufa sio dhambiJuzi hapa nilikuwa Uturuki. Ni nchi ya watu ambao dini yao inaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja, lakini wanawake katakata hawakubali kuwa katika ndoa ya mke zaidi ya mmoja, na wanaume wao wanaelewa hilo. Nimewaheshimu sana wanawake wa Uturuki kwa kujitambua kwa namna hii.
Hili ni jambo ambalo siku zote nimeshindwa kuwaelewa wanawake, na wala mtu asiniambie dini yangu inaruhusu. Mwanamke anakuwa katika akili gani hadi anakubali kuolewa kama mke wa pili, au wa tatu?
Kuolewa mke wa pili bado naona kama ningekuwa mwanamke nisingekubali kamwe, sasa wa tatu? Wa nne? Kwamba unakuwa na shida sana ya kupata mwanaume wako au una hali mbaya ya kiuchumi ndio ukakubali?
Na siamini kabisa kwamba yule mwanamke unaemkuta kwa huyo mumeo anafurahia kitendo cha wewe kuja kama mke wa pili au mbaya zaidi, wa tatu au wa nne.
Kwa nini wanawake hamtaki kujikomboa katika jambo hili? Sidhani kama nitamheshimu mwanamke anaekubali kuolewa mke wa tatu au wa nne; labda kidogo wa pili nitamuelewa. Mie naona kama anaekubali kuingilia ndoa ya wengine ambayo tayari ina mke mmoja au wawili kufikiri kwake hakupo sawa.
Nadhani ni Safari Sound au Marquiz waliwahi kuimba, "kama nitakuwa mke wa pili nakubali, lakini kama ni watatu sikubali hata kidogo nasikitika"
Aaah, hiyo ni temporary siku zoteMbona hushangai binti anakubalije kuwa na mahusiano na mume wa mtu?
Hatuwezi kujua. Angekuwepo mfalme Suleiman angekujibu hasa mke wake wa 700 angetoa jibu zuri.Juzi hapa nilikuwa Uturuki. Ni nchi ya watu ambao dini yao inaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja, lakini wanawake katakata hawakubali kuwa katika ndoa ya mke zaidi ya mmoja, na wanaume wao wanaelewa hilo. Nimewaheshimu sana wanawake wa Uturuki kwa kujitambua kwa namna hii.
Hili ni jambo ambalo siku zote nimeshindwa kuwaelewa wanawake, na wala mtu asiniambie dini yangu inaruhusu. Mwanamke anakuwa katika akili gani hadi anakubali kuolewa kama mke wa pili, au wa tatu?
Kuolewa mke wa pili bado naona kama ningekuwa mwanamke nisingekubali kamwe, sasa wa tatu? Wa nne? Kwamba unakuwa na shida sana ya kupata mwanaume wako au una hali mbaya ya kiuchumi ndio ukakubali?
Na siamini kabisa kwamba yule mwanamke unaemkuta kwa huyo mumeo anafurahia kitendo cha wewe kuja kama mke wa pili au mbaya zaidi, wa tatu au wa nne.
Kwa nini wanawake hamtaki kujikomboa katika jambo hili? Sidhani kama nitamheshimu mwanamke anaekubali kuolewa mke wa tatu au wa nne; labda kidogo wa pili nitamuelewa. Mie naona kama anaekubali kuingilia ndoa ya wengine ambayo tayari ina mke mmoja au wawili kufikiri kwake hakupo sawa.
Nadhani ni Safari Sound au Marquiz waliwahi kuimba, "kama nitakuwa mke wa pili nakubali, lakini kama ni watatu sikubali hata kidogo nasikitika"
Hao wanaotaka ndio tunauliza hapa, wana akili ya namna gani? Wewe binti yako au dada yako akisema amapata mchumba, mume wa wengine na yeye ataolewa mke wa tatu utajisikiaje, chereko chereko?Kama wewe hautaki kuolewa mke wa pili au watatu au wa nne wenzanko wanataka