Hivi mtu anakuwa katika hali gani ya akili hadi anakubali kuolewa mke wa tatu, wa nne nk?

Hivi mtu anakuwa katika hali gani ya akili hadi anakubali kuolewa mke wa tatu, wa nne nk?

Hatuwezi kujua. Angekuwepo mfalme Suleiman angekujibu hasa mke wake wa 700 angetoa jibu zuri.
Wale hawakuwa wake, walikua masuria. Yaani kama kuwa na zizi la wanawake siku ukijisikia kubadili radha toka kwa mke unaenda kukamata mmoja. Enzi hizo ilikubalika na siku hizi inaitwa mchepuko. Hata Abrahamu alikuwa nae, japo mmoja
 
Acha kubishana na Biblia bhana.
Wake ni 700
Masuria au michepuko 300
 
Walimwengu wanatuaminisha kuwa mwanaume anatakiwa awe na mwanamke mmoja lakini ulimwengu unahitaji mwanaume awe na mwanamke zaidi ya mmoja kwasababu mwanaume ni mbegu,
 
Kisayansi ni jambo zuri zaidi binadamu kuwa na genes zilizotawanyika kuliko genes zinazofanana kukusanywa sehemu ndogo, polygamy ina limit mtawanyiko wa genes na hivyo kuongeza uwezekano wa magonjwa ya kurithi na viumbe wasio na afya nzuri sana.
Mhhhh hii science gani mkuu mbona umeandika vitu kinyume nyume!!!
Lakini pia katika social science polygamy ni mfumo wa hovyo unaompa mwanaume uhuru wa kufanya mambo ambayo mwanamke haruhusiwi kufanya, kama lingekuwa ni jambo zuri lisilo la kimfumo dume mwanamke naye angeruhusiwa kuoelewa na wanaume wengi kwa wakati mmoja.
A woman can make only one egg per month but a man can make millions of sperms to fertilize multiple eggs in a single day. HATUFANANI.
 
Okay, siwezi kubishana na Biblia, ila nipe mstari basi.
Ok, huu hapa.

1 Mfalme Sulemani akawapenda wanawake wengi wageni, pamoja na binti yake Farao, wanawake wa Wamoabi, na wa Waamoni, na wa Waedomi, na wa Wasidoni, na wa Wahiti,
1 Wafalme 11:1

2 na wa mataifa Bwana aliyowaambia wana wa Israeli, Msiingie kwao, wala wasiingie kwenu; kwa kuwa hakika wataigeuza mioyo yenu kuifuata miungu yao. Sulemani akaambatana nao kwa kuwapenda.
1 Wafalme 11:2

3 Akawa na wake mia saba binti za kifalme, na masuria mia tatu; nao wakeze wakamgeuza moyo.
1 Wafalme 11:3
 
Mwanaume unalalamikaje mwanamke kuolewa mke wa pili ama wa 3?

Yaani wewe unaumia wanawake kuolewa mke wa pili ama wa 3?

Kwa hiyo unaona bora aendelee kua mchepuko kuliko kua na mwanaume wa uhakika wa kumhudumia na kumstiri?
Mi nmetaka kuuliza jinsia ya mleta uzi wallah😃😃
 
Wanakuwa katika hali hii.
1752405815984.jpg
 
Mimi sioni shida na nipo tayari kuolewa mitala kikubwa mwanaume atimize majukumu yake ipasavyo.
 
Usimpuuze mjinga, muelimishe. La sivyo atajikusanya na wajinga wenzake na watatumia nguvu yao ya wajinga wengi kukuchagulia mbunge au hata raisi mjinga kama wao
 
Shoga huyu...

Back
Top Bottom