Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Sheria za Uturuki haziruhusu mitaala. Sababu kubwa ni wanawake kuvutiwa na watu wenye mali. Iwe pesa au ng'ombe.
Nataka mke wa piliOoh, hongera sana....hatimaye umetoboa mkuu.Utulie sasa
Dangote OG akitaka kukuoa utakataa??Kuwa mke wa pili tu siwezi.... mbona nitashinda napigana tu naye....akiamka tu kichwa! 🤒
Kwa nini umeleta hii mada wakati huu ambao kule jumba kubwa kuna mtu yeye ni wanne?Juzi hapa nilikuwa Uturuki. Ni nchi ya watu ambao dini yao inaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja, lakini wanawake katakata hawakubali kuwa katika ndoa ya mke zaidi ya mmoja, na wanaume wao wanaelewa hilo. Nimewaheshimu sana wanawake wa Uturuki kwa kujitambua kwa namna hii.
Hili ni jambo ambalo siku zote nimeshindwa kuwaelewa wanawake, na wala mtu asiniambie dini yangu inaruhusu. Mwanamke anakuwa katika akili gani hadi anakubali kuolewa kama mke wa pili, au wa tatu?
Kuolewa mke wa pili bado naona kama ningekuwa mwanamke nisingekubali kamwe, sasa wa tatu? Wa nne? Kwamba unakuwa na shida sana ya kupata mwanaume wako au una hali mbaya ya kiuchumi ndio ukakubali?
Na siamini kabisa kwamba yule mwanamke unaemkuta kwa huyo mumeo anafurahia kitendo cha wewe kuja kama mke wa pili au mbaya zaidi, wa tatu au wa nne.
Kwa nini wanawake hamtaki kujikomboa katika jambo hili? Sidhani kama nitamheshimu mwanamke anaekubali kuolewa mke wa tatu au wa nne; labda kidogo wa pili nitamuelewa. Mie naona kama anaekubali kuingilia ndoa ya wengine ambayo tayai ina mke mmoja au wawili kufikiri kwake hakupo sawa.
Nadhani ni Safari Sound au Marquiz waliwahi kuimba, "kama nitakuwa mke wa pili nakubali, lakini kama ni watatu sikubali hata kidogo nasikitika"
Wanawake wengi wanaona kuolewa mke wa pili, tatu au nne ni heshima kubwa kuliko kutokuwa na ndoa, wenyewe wanasema "kusitiriwa"!Wanawake wanachagua pesa zaidi kuliko heshima.
Baby kwako sina haja yakuongeza mwengine sitaki kukutia stress maana kwanza unajitosheleza au sio baby wangu..??Mimi siyo akili gani, nikipenda mtu nilivyo na wivu siwezi kwa kweli. Yaani najua sasa hivi yuko analala huko, mbona usiku utakuwa mrefu sana.
Vipi upande wa kule kwenu Khanji Bahi🤣Umaskini boss
Umaskini ni mbaya sana hata saudi arabia ndoa za wake wengi ni chache ukilinganisha na africa
Uzuri wewe sio mwanamke,pili usipingane na diniJuzi hapa nilikuwa Uturuki. Ni nchi ya watu ambao dini yao inaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja, lakini wanawake katakata hawakubali kuwa katika ndoa ya mke zaidi ya mmoja, na wanaume wao wanaelewa hilo. Nimewaheshimu sana wanawake wa Uturuki kwa kujitambua kwa namna hii.
Hili ni jambo ambalo siku zote nimeshindwa kuwaelewa wanawake, na wala mtu asiniambie dini yangu inaruhusu. Mwanamke anakuwa katika akili gani hadi anakubali kuolewa kama mke wa pili, au wa tatu?
Kuolewa mke wa pili bado naona kama ningekuwa mwanamke nisingekubali kamwe, sasa wa tatu? Wa nne? Kwamba unakuwa na shida sana ya kupata mwanaume wako au una hali mbaya ya kiuchumi ndio ukakubali?
Na siamini kabisa kwamba yule mwanamke unaemkuta kwa huyo mumeo anafurahia kitendo cha wewe kuja kama mke wa pili au mbaya zaidi, wa tatu au wa nne.
Kwa nini wanawake hamtaki kujikomboa katika jambo hili? Sidhani kama nitamheshimu mwanamke anaekubali kuolewa mke wa tatu au wa nne; labda kidogo wa pili nitamuelewa. Mie naona kama anaekubali kuingilia ndoa ya wengine ambayo tayai ina mke mmoja au wawili kufikiri kwake hakupo sawa.
Nadhani ni Safari Sound au Marquiz waliwahi kuimba, "kama nitakuwa mke wa pili nakubali, lakini kama ni watatu sikubali hata kidogo nasikitika"
Wewe tena, humu una mababy kibao ndiyo sikuwezi kabisa. 😅😅😅😅Baby kwako sina haja yakuongeza mwengine sitaki kukutia stress maana kwanza unajitosheleza au sio baby wangu..??
Bado hujaelewa saikolojia ya Wanawake wewe.Juzi hapa nilikuwa Uturuki. Ni nchi ya watu ambao dini yao inaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja, lakini wanawake katakata hawakubali kuwa katika ndoa ya mke zaidi ya mmoja, na wanaume wao wanaelewa hilo. Nimewaheshimu sana wanawake wa Uturuki kwa kujitambua kwa namna hii.
Hili ni jambo ambalo siku zote nimeshindwa kuwaelewa wanawake, na wala mtu asiniambie dini yangu inaruhusu. Mwanamke anakuwa katika akili gani hadi anakubali kuolewa kama mke wa pili, au wa tatu?
Kuolewa mke wa pili bado naona kama ningekuwa mwanamke nisingekubali kamwe, sasa wa tatu? Wa nne? Kwamba unakuwa na shida sana ya kupata mwanaume wako au una hali mbaya ya kiuchumi ndio ukakubali?
Na siamini kabisa kwamba yule mwanamke unaemkuta kwa huyo mumeo anafurahia kitendo cha wewe kuja kama mke wa pili au mbaya zaidi, wa tatu au wa nne.
Kwa nini wanawake hamtaki kujikomboa katika jambo hili? Sidhani kama nitamheshimu mwanamke anaekubali kuolewa mke wa tatu au wa nne; labda kidogo wa pili nitamuelewa. Mie naona kama anaekubali kuingilia ndoa ya wengine ambayo tayai ina mke mmoja au wawili kufikiri kwake hakupo sawa.
Nadhani ni Safari Sound au Marquiz waliwahi kuimba, "kama nitakuwa mke wa pili nakubali, lakini kama ni watatu sikubali hata kidogo nasikitika"
Inafikilisha sana hiiMwanaume unalalamikaje mwanamke kuolewa mke wa pili ama wa 3?
Yaani wewe unaumia wanawake kuolewa mke wa pili ama wa 3?
Kwa hiyo unaona bora aendelee kua mchepuko kuliko kua na mwanaume wa uhakika wa kumhudumia na kumstiri?
Ila wewe unapendaJuzi hapa nilikuwa Uturuki. Ni nchi ya watu ambao dini yao inaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja, lakini wanawake katakata hawakubali kuwa katika ndoa ya mke zaidi ya mmoja, na wanaume wao wanaelewa hilo. Nimewaheshimu sana wanawake wa Uturuki kwa kujitambua kwa namna hii.
Hili ni jambo ambalo siku zote nimeshindwa kuwaelewa wanawake, na wala mtu asiniambie dini yangu inaruhusu. Mwanamke anakuwa katika akili gani hadi anakubali kuolewa kama mke wa pili, au wa tatu?
Kuolewa mke wa pili bado naona kama ningekuwa mwanamke nisingekubali kamwe, sasa wa tatu? Wa nne? Kwamba unakuwa na shida sana ya kupata mwanaume wako au una hali mbaya ya kiuchumi ndio ukakubali?
Na siamini kabisa kwamba yule mwanamke unaemkuta kwa huyo mumeo anafurahia kitendo cha wewe kuja kama mke wa pili au mbaya zaidi, wa tatu au wa nne.
Kwa nini wanawake hamtaki kujikomboa katika jambo hili? Sidhani kama nitamheshimu mwanamke anaekubali kuolewa mke wa tatu au wa nne; labda kidogo wa pili nitamuelewa. Mie naona kama anaekubali kuingilia ndoa ya wengine ambayo tayai ina mke mmoja au wawili kufikiri kwake hakupo sawa.
Nadhani ni Safari Sound au Marquiz waliwahi kuimba, "kama nitakuwa mke wa pili nakubali, lakini kama ni watatu sikubali hata kidogo nasikitika"
Hakuna dini duniani inasema ni lazima uoe mke zaidi ya mmoja. UsipotosheUzuri wewe sio mwanamke,pili usipingane na dini
Mwanamke ni kiumbe dhaif Hana maamuzi ni wa kupelekwa tuuuu, na kupangwaJuzi hapa nilikuwa Uturuki. Ni nchi ya watu ambao dini yao inaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja, lakini wanawake katakata hawakubali kuwa katika ndoa ya mke zaidi ya mmoja, na wanaume wao wanaelewa hilo. Nimewaheshimu sana wanawake wa Uturuki kwa kujitambua kwa namna hii.
Hili ni jambo ambalo siku zote nimeshindwa kuwaelewa wanawake, na wala mtu asiniambie dini yangu inaruhusu. Mwanamke anakuwa katika akili gani hadi anakubali kuolewa kama mke wa pili, au wa tatu?
Kuolewa mke wa pili bado naona kama ningekuwa mwanamke nisingekubali kamwe, sasa wa tatu? Wa nne? Kwamba unakuwa na shida sana ya kupata mwanaume wako au una hali mbaya ya kiuchumi ndio ukakubali?
Na siamini kabisa kwamba yule mwanamke unaemkuta kwa huyo mumeo anafurahia kitendo cha wewe kuja kama mke wa pili au mbaya zaidi, wa tatu au wa nne.
Kwa nini wanawake hamtaki kujikomboa katika jambo hili? Sidhani kama nitamheshimu mwanamke anaekubali kuolewa mke wa tatu au wa nne; labda kidogo wa pili nitamuelewa. Mie naona kama anaekubali kuingilia ndoa ya wengine ambayo tayai ina mke mmoja au wawili kufikiri kwake hakupo sawa.
Nadhani ni Safari Sound au Marquiz waliwahi kuimba, "kama nitakuwa mke wa pili nakubali, lakini kama ni watatu sikubali hata kidogo nasikitika"
Acha gubu bibieJuzi hapa nilikuwa Uturuki. Ni nchi ya watu ambao dini yao inaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja, lakini wanawake katakata hawakubali kuwa katika ndoa ya mke zaidi ya mmoja, na wanaume wao wanaelewa hilo. Nimewaheshimu sana wanawake wa Uturuki kwa kujitambua kwa namna hii.
Hili ni jambo ambalo siku zote nimeshindwa kuwaelewa wanawake, na wala mtu asiniambie dini yangu inaruhusu. Mwanamke anakuwa katika akili gani hadi anakubali kuolewa kama mke wa pili, au wa tatu?
Kuolewa mke wa pili bado naona kama ningekuwa mwanamke nisingekubali kamwe, sasa wa tatu? Wa nne? Kwamba unakuwa na shida sana ya kupata mwanaume wako au una hali mbaya ya kiuchumi ndio ukakubali?
Na siamini kabisa kwamba yule mwanamke unaemkuta kwa huyo mumeo anafurahia kitendo cha wewe kuja kama mke wa pili au mbaya zaidi, wa tatu au wa nne.
Kwa nini wanawake hamtaki kujikomboa katika jambo hili? Sidhani kama nitamheshimu mwanamke anaekubali kuolewa mke wa tatu au wa nne; labda kidogo wa pili nitamuelewa. Mie naona kama anaekubali kuingilia ndoa ya wengine ambayo tayai ina mke mmoja au wawili kufikiri kwake hakupo sawa.
Nadhani ni Safari Sound au Marquiz waliwahi kuimba, "kama nitakuwa mke wa pili nakubali, lakini kama ni watatu sikubali hata kidogo nasikitika"
Hapana bhana mi sina yoyote nimekuchagua wewe tu!, nilikuwa nakufuatilia toka zamani nikaona huna mambo mengi hivyo leo nakutangaza wewe ndio baby wangu wa humu!, asitokee yoyote kukushika wala kukutaka sawa Bantu wangu.?Wewe tena, humu una mababy kibao ndiyo sikuwezi kabisa. 😅😅😅😅
Sasa kama uislamu huujui nyamaza bro,dini ya kiislamu inaruhusu ndoa ya wake wengiHakuna dini duniani inasema ni lazima uoe mke zaidi ya mmoja. Usipotoshe