mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
tumepewa chaguo la kuwa na wanawake 4 .sababu ya kuepusha zinaa na kupunguza gap la wanawake ambao wapo wengiHakuna dini duniani inasema ni lazima uoe mke zaidi ya mmoja. Usipotoshe
tumepewa chaguo la kuwa na wanawake 4 .sababu ya kuepusha zinaa na kupunguza gap la wanawake ambao wapo wengiHakuna dini duniani inasema ni lazima uoe mke zaidi ya mmoja. Usipotoshe
Huyo jamaa hana akili na limbukeni ,wanawake wanatongozwa na wanaume za watu na bado wanakubali tena sana ..Mwanamke anaweza kuolewa hata mke wa 6 kiasili unless anapata kila kitu..Lakini ni vema binti kuzaa na mume wa mtu au kuwekwa kimada na mume wa mtu lakini si sawa binti kuolewa ndoa ya wake wengi, hivi vitu hua vinanifikirisha sana,
Unakuta mtoa mada ana mchepuko wake kampangishia nyumba na kumpa matunzo yote ila anawashangaa wanaooana ndoa za wake wengi.
😂😂😂Mimi siyo akili gani, nikipenda mtu nilivyo na wivu siwezi kwa kweli. Yaani najua sasa hivi yuko analala huko, mbona usiku utakuwa mrefu sana.
Ndio akili za wagalatia hizo usishangae,,kwao bora vimada kuliko ndoaLakini ni vema binti kuzaa na mume wa mtu au kuwekwa kimada na mume wa mtu lakini si sawa binti kuolewa ndoa ya wake wengi, hivi vitu hua vinanifikirisha sana,
Unakuta mtoa mada ana mchepuko wake kampangishia nyumba na kumpa matunzo yote ila anawashangaa wanaooana ndoa za wake wengi.
Msio na nguvu za kiume mna chuki marijali tukiwasitiri wanawakeBaadhi ni njaa tu, Kuna kibinti kime olewa na mzee mmoja wa mtaani kwetu yaani hata 19 hakija fika.
tena mke wa nne.
Mzee huyo ni rafiki Sasa huwa namuuliza hicho nacho Cha Nini?, ana sema kina mkumbusha enzi za kucheza kombolela😆😂
Idadi ya Wanawake na wanaume wanalingana duniani.tumepewa chaguo la kuwa na wanawake 4 .sababu ya kuepusha zinaa na kupunguza gap la wanawake ambao wapo wengi
Huijui dini wewe 😅Kuwa mke wa pili tu siwezi.... mbona nitashinda napigana tu naye....akiamka tu kichwa! 🤒
Kwa nini pamoja na ndoa za wake wengi bado single mothers ni wengi tu mtaani??Lakini ni vema binti kuzaa na mume wa mtu au kuwekwa kimada na mume wa mtu lakini si sawa binti kuolewa ndoa ya wake wengi, hivi vitu hua vinanifikirisha sana,
Unakuta mtoa mada ana mchepuko wake kampangishia nyumba na kumpa matunzo yote ila anawashangaa wanaooana ndoa za wake wengi.
Solomon na yule aliyeowa mtu na dada yake unadhani wake zao ni mataahira?Juzi hapa nilikuwa Uturuki. Ni nchi ya watu ambao dini yao inaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja, lakini wanawake katakata hawakubali kuwa katika ndoa ya mke zaidi ya mmoja, na wanaume wao wanaelewa hilo. Nimewaheshimu sana wanawake wa Uturuki kwa kujitambua kwa namna hii.
Hili ni jambo ambalo siku zote nimeshindwa kuwaelewa wanawake, na wala mtu asiniambie dini yangu inaruhusu. Mwanamke anakuwa katika akili gani hadi anakubali kuolewa kama mke wa pili, au wa tatu?
Kuolewa mke wa pili bado naona kama ningekuwa mwanamke nisingekubali kamwe, sasa wa tatu? Wa nne? Kwamba unakuwa na shida sana ya kupata mwanaume wako au una hali mbaya ya kiuchumi ndio ukakubali?
Na siamini kabisa kwamba yule mwanamke unaemkuta kwa huyo mumeo anafurahia kitendo cha wewe kuja kama mke wa pili au mbaya zaidi, wa tatu au wa nne.
Kwa nini wanawake hamtaki kujikomboa katika jambo hili? Sidhani kama nitamheshimu mwanamke anaekubali kuolewa mke wa tatu au wa nne; labda kidogo wa pili nitamuelewa. Mie naona kama anaekubali kuingilia ndoa ya wengine ambayo tayai ina mke mmoja au wawili kufikiri kwake hakupo sawa.
Nadhani ni Safari Sound au Marquiz waliwahi kuimba, "kama nitakuwa mke wa pili nakubali, lakini kama ni watatu sikubali hata kidogo nasikitika"
Hao singo maza ndio zao la hao vimada na sio walioolewaKwa nini pamoja na ndoa za wake wengi bado single mothers ni wengi tu mtaani??
🤣🤣🤣Mkuu,labda awe Hana nguvu za kiume...ila mume wangu anasimamisha vizuri afu nijue anaenda kutumbukiza pengine ...Bora nisijue mkuuHuijui dini wewe 😅
Sio kweli, wanaume wengi wanapenda kuoa mabinti wadogo wa miaka 18-21.Hao singo maza ndio zao la hao vimada na sio walioolewa
sio kweli.Mungu hawezi kuwa muongoIdadi ya Wanawake na wanaume wanalingana duniani.