Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
Kule wanawake ndio wanachagua mume ukiwa na kasura kakumulika kwa toch utasota mno šVipi upande wa kule kwenu Khanji Bahiš¤£
Kule wanawake ndio wanachagua mume ukiwa na kasura kakumulika kwa toch utasota mno šVipi upande wa kule kwenu Khanji Bahiš¤£
Acha uhanga mkuu, oa mke mmoja anatoshaMkuu,
Kwani lazima kila mtu aione dunia unavyoiona wewe?
Si haki yao kuamua wanavyotaka kuoa au kuolewa?
Wewe pia inawezekana kuna watu hawakuelewi kwenye mengi unayofanya ambayo ni haki yako pia.
Nakushauri ujifunze vizuri dini ya kiislamu,ina hatua zake za kupitia ili uongeze mke,huoi kwa nguvu,kuna utaratibu wake ambao uko very clearInaruhusu, hailazimishi. N unajua kuwa lazima mke aliyepo akukubalie kuoa mke mwingine? Waulize ni wangapi wanakubali
Samia ni mke wa tatu na bado ni rais wako watu milioni 60 wanaishi chini ya amri yake.
Unajua kama unasema kweli Raisi wetu ni mke wa tatu, sasa nimeanza kuelewa tatizo liko wapi, hivi visirani visirani, visasi visasi nk. Yaani, I say, sasa I can see clearly we are dealing with a psychological issue kwenye uongozi wa nchi. Shocking!Huyu Raisi wetu Samia ni mke wa tatu? Unatutania Mkuu.š³š³š³š³š³š³
Achana na hayo mambo, wenzako watakuja kuuliza mabikira 72, mito ya pombe jannah na ndoa ya mtoto wa miaka sita, Aisha.Je Kwani watu wanakua katika akili Gani mpaka kumuita mungu mtu ambae mcheza sinema na picha yake inawekwa kwenye nyumba za ibada na mzungu huyo mcheza sinema unampa heshima ya kua mungu na muokozo wako hivi inaingia alilini hivi unawezaje hasa na kwa kutumia akili hii hii tunayotumia kufikiri au wenzetu mna akili Nyengine mpaka munajua. A ujasiri huo wa kumuabudu decon kua ndio mkomboz wenu? Hebu tuanzie hapa kwanza akili Gani inatumika kuamin hiki mbona hata mtoto wa miaka Saba hawez kukubali hiki kitu
kuuliza kwenye yale huyajui haikufanyi uwe mjinga ila kuongea yale usiyo na ufahamu nayo huo ni ujinga/upumbavu.Inaruhusu, hailazimishi. N unajua kuwa lazima mke aliyepo akukubalie kuoa mke mwingine? Waulize ni wangapi wanakubali
Walitumia madawa ya kiswahili š¤£š¤£š¤£Eti Mlikua katika Hali gani kiakili Depal Hope urassa š„¹
Akili zimewarudi sasa ..si mtoke.,š¤øš¤øWalitumia madawa ya kiswahili š¤£š¤£š¤£
Suala si mke mmoja au ishirini wanatosha.Acha uhanga mkuu, oa mke mmoja anatosha
Kuoa wake wengi sio sawa, kuzaa watoto wengi kwa dunia ya sasa sio jambo la busara pia.Suala si mke mmoja au ishirini wanatosha.
Hapo unapomshangaa ntu mwenye mke zaidi ya mmoja kuna mtu anakishangaa kwa nini wewe umeoa mmoja unazaa watoto saba unajaza watu tu duniani wakati dunia ina matatizo mengi sana.
Anataka usioe au ukioa usizae.
Utaona sawa akupangie maisha hivyo?
Acha uongo hio ya kuoa dada zao ndio kwanza naiskia kwa mara ya kwanza na ninakaribia nusu karne ya umriZamani babu zetu walioa hata dada zao. Kwa hiyo leo mtu na dada yake waendelee kuoana?
Utakuwa hupati thwawabu kwa mujibu wa dini. Dini inakataa mtu mke kukata mwingine asipate stara kwa kuolewa na mumewe.š¤£š¤£š¤£Mkuu,labda awe Hana nguvu za kiume...ila mume wangu anasimamisha vizuri afu nijue anaenda kutumbukiza pengine ...Bora nisijue mkuu
Nimekuelewa mkuu,nitampenda sana mke mwenzaUtakuwa hupati thwawabu kwa mujibu wa dini. Dini inakataa mtu mke kukata mwingine asipate stara kwa kuolewa na mumewe.
Dini inakataza hadi kuuliza chakula kikiwa cha moto
Hata sasa watu wanaoa binamu zao, hiyo ya kuoa dada shria za nchi ndio zimeizuiaAcha uongo hio ya kuoa dada zao ndio kwanza naiskia kwa mara ya kwanza na ninakaribia nusu karne ya umri
Unataka kutuambia hao wanawake walikuwa wamekata tamaa ya kuolewa kama mke mmoja na wakaona ni afadhali kuolewa kwenye ndoa ya watu wengine ili wazae watoto wasio bastards? Kwamba wanawake wanaoolewa mke wa tatu wa nne ni desperate women ambao wamekuwa rejected na single men?wanawake hao mara nyingi walikuwa na wanaangalia ni jambo gani lenye faida kwa watoto wao na hilo lilikuwa ni jina (surname) ili wasiitwe bastards....