Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,416
Zamani ni tamaduni chache sana mme alikuwa na mke mmoja (monogamy was not a thing) na kuna jamii zilikuwa mtoto akizaliwa tu ameshachumbiwa, kumbuka na watoto walikuwa ndio nguvu kazi ukiwa nao wengi una watu wengi wa kulima na kufanya kazi hivyo utajiri (na mwanamke anayezaa sana huo ndio ulikuwa ufahari)Unataka kutuambia hao wanawake walikuwa wamekata tamaa ya kuolewa kama mke mmoja na wakaona ni afadhali kuolewa kwenye ndoa ya watu wengine ili wazae watoto wasio bastard?
Kwahio waowaje karibia wote / wengi walikuwa na mke zaidi ya mmoja na wewe ukija option yako ni kujiunga kwenye hao wengine (unadhani maneno ya mwanaharamu yalitokea wapi)
Unaongelea lini ? Mimi nimekupa historia ya baadhi ya tamaduni na mabaki ya tamaduni hizo..., mpaka leo kuna jamii ikiona mtoto hajaolewa wanaona kama nuksi hivyo sababu katika tamaduni zao ni acceptable kuwa mke mwenza hio inakuwa option; Na kama nilivyokwambia mambo yanabadilika na binadamu ni social animals mzigo wa kuwa against jamii unawasukuma wengi kuendana na status quo; na issue ya muhimu kwao ni kupata kwake familia na watoto wake kutokuitwa wanaharamu... (a status among her peers)Kwamba wanawake wanaoolewa mke wa tatu wa nne ni desperate women ambao wamekuwa rejected na single men?