mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 904
- 2,987
Baada ya kuona uteuzi wa kadogosa , nimejiuliza hivi huku wilayani na vijjijini Kuna shida gani,Tangu nimezaliwa Hadi nafika umri huu ,sijawahi kuona mbena,mkinga, mhehe nk anaishi jombe kateuliwa nafasi yoyote kubwa huko serikalin,what I know wapo watu wa asili ya huku mikoani lakini makazi yao ni dsm, Dodoma na nje ya nchii ndio wanakula teuzi , Hawa CCM wa huku mtaani kwetu wanaonwaje na mamlaka ,wakivaa uniform zao wanajiona kama wao ndio nchii yenyewe, mbona hawalambi teuzi na wengi maisha yanabadilika toka maisha ya kawaida Hadi kuwa watu wenye maisha magumu.
Teuzi za watu wa mikoani ni mtu alikuja kama mkurugenzi ,mkuu wa wilaya ,ras nk anahamishwa , je mamlaka zinawaonaje Hawa tunaoshinda nap mbona ndio wanakipagania Sana Chama, usifanye masihara unapandishwa Lori unApigwa na vumbi huko halafu unaishiwa kupewa baiskeli na pikipiki hii inaumiza sana