Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesi ya kuhatarisha UsalamaKama hajamkamata live, hakuna kesi hapo. Ila kama alimkamata live na mashahidi wakiwepo, police wetu wajuvi sana. Wanaweza kuibuka na case kama "tresspassing" au "kujimilikisha mali ya mtu kinyume cha sheria" au hata "uchochezi unaolenga kuvunja ndoa halali"🙂
Kuchapiwa hakuna formula mke hata apate kila kitu ikitokea tu anaweza chepuka tuNaona Mzee Ushachapiwa Mke unajiliwaza Eti unataka kumshauri Mtu!
Mtoto wako ukimlisha akashiba hutasikia anakuabisha kwa kula kula kwa Majirani!
'Mlishe' Mkeo atosheke ndio dawa ya kuchapiwa sio kutafuta vifungu vya Sheria kwenda kufunga Watu
Kama sheria ipo sitayari huyo mke atafungwa? Maana inambana yeye anaetendakosa huku anajua nikosa kisheria .Ndo maana nikasema mwanamke anajijuaa kabisa Mimi ni mke wa mtu na Na nimeapa sitokuja kusaliti ndoa yangu.
Halafu mwanamke ukamuua kutoka nje kutembea na mtu mwingineee halafu mwanaume ukatokea umemfumania mke wako na mwanaume mwingineee...
Yule jamaa alishindw kwa sababu mke alimtelekeza zaidi ya miaka mitatu, bila kujua mke wake anaishije na watoto, kiufupi hakukuwa na kitu kinaitwa ndOa, ndio maana mazingira yakafanya kesi iwe ngumuUNAENDA KUMSHTAK MKUU HATA DR. SLAA ALISHTAKIWA NA AKADAIWA FIDIA YA BN. 1, SJUI ILIISHA WAPI KES ILE.. ILA WENG HAWASHTAK, WANATOA ADHABU WENYEWE, EG. KUPAKWA MAFUTA N.K
Ungekuwa umeoa usingejibu hivi,ni sawa na kumcheka MTU aliejela au hospitalini,ile ni hulka ya mtu kutoka nje.Wengi tunachapiwa kimyakimya sema atujui.Maana we sio wa kwanza kumfahamu wanapita sehemu nyingi kuanzia mashuleni nk,ni kuomba Mungu tu,mimi nachoogopa ni kuletewa watoto wa nje,maana huwezi mchunga binadamu .Naona Mzee Ushachapiwa Mke unajiliwaza Eti unataka kumshauri Mtu!
Mtoto wako ukimlisha akashiba hutasikia anakuabisha kwa kula kula kwa Majirani!
'Mlishe' Mkeo atosheke ndio dawa ya kuchapiwa sio kutafuta vifungu vya Sheria kwenda kufunga Watu
Ameuliza jambo zuri. Ila weye unalichukulia poa tu. GIVING OUT A STUPID ANSWER WILL GET YOU A STUPID QUOTATION!
Ungekuwa umeoa usingejibu hivi,ni sawa na kumcheka MTU aliejela au hospitalini,ile ni hulka ya mtu kutoka nje.Wengi tunachapiwa kimyakimya sema atujui.Maana we sio wa kwanza kumfahamu wanapita sehemu nyingi kuanzia mashuleni nk,ni kuomba Mungu tu,mimi nachoogopa ni kuletewa watoto wa nje,maana huwezi mchunga binadamu .
Molimoli segito wangu!ahhaha huwa sikuwez nakufikiriaga sana wewe hahahahaa mtata hatar
Asante kwa ufafanuz wakil msomiNdio ni kosa kisheria, hii uitwa ugoni, na hasa wewe mwizi ukikamatwa live, adhabu yake yaweza kua fine au kifungo vile vile, kwa mujibu wa sheria ya ndoa... lakini sheria imetilia mkazo sanaa kwenye kumuoa au kuishi na mke wa mtu ambae uenda ametengana tu na mmewe bila talaka au...
Mkuu upo vizuriNdio ni kosa kisheria, hii uitwa ugoni, na hasa wewe mwizi ukikamatwa live, adhabu yake yaweza kua fine au kifungo vile vile, kwa mujibu wa sheria ya ndoa... lakini sheria imetilia mkazo sanaa kwenye kumuoa au kuishi na mke wa mtu ambae uenda ametengana tu na mmewe bila talaka au wamekorofishana tu, ambapo Kifungu cha 152 ( 1) cha sheria ya ndoa kinakifanya kitendo cha kufunga ndoa na mwanamke ambaye bado ndoa yake haivunjwa kisheria kuwa ni kosa.
Kifungu kidogo ( 1 ) na ( 2 ) kinasema kuwa mme aliyemuoa mke huyo na mke mwenyewe aliyeolewa wote kwa pamoja wanahesabika kutenda kosa hili. Na kifungu kidogo cha ( 3 ) kinasema kuwa hao wote wawili wakithibitika kutenda kosa hilo basi adhabu yao ni kifungo kisichozidi miaka 3 jela.