Hivi mtu anaweza kushitakiwa kwa kutembea na Mke wa mtu?

Hilo ni kosa kama utawafumania wakiwa wanasex na unamashahid walio shuhudia unafungua kesi maakaman moja kwa moja na si polisi kosa ni ugoni
 
Kesi ya kuhatarisha Usalama
 
Nadhani watu hizi Huwa wanamalizana wenyewe Bila kwenda mahakamani,hukumu zake Huwa ngumu kidogo. Kuliwa kabang, Kufukiwa shimoni ukiwa hai, kupigwa kisu, kuingizwa spoku ya Baiskeli kwenye uume,nk hizi ndio hukumu ambao Huwa hazisubiri kupelekwa mahakamani
 
Naona Mzee Ushachapiwa Mke unajiliwaza Eti unataka kumshauri Mtu!
Mtoto wako ukimlisha akashiba hutasikia anakuabisha kwa kula kula kwa Majirani!

'Mlishe' Mkeo atosheke ndio dawa ya kuchapiwa sio kutafuta vifungu vya Sheria kwenda kufunga Watu
Kuchapiwa hakuna formula mke hata apate kila kitu ikitokea tu anaweza chepuka tu
 
Ndo maana nikasema mwanamke anajijuaa kabisa Mimi ni mke wa mtu na Na nimeapa sitokuja kusaliti ndoa yangu.

Halafu mwanamke ukamuua kutoka nje kutembea na mtu mwingineee halafu mwanaume ukatokea umemfumania mke wako na mwanaume mwingineee...
Kama sheria ipo sitayari huyo mke atafungwa? Maana inambana yeye anaetendakosa huku anajua nikosa kisheria .
 
alaaniwe yeyote ajuae kuwa fulani ni mke wa mtu na akamfata kwa kujua udhaifu wake na kumla kwa kutaka sifa kwa wajinga wenzake. wallah atakaejua udhaif wa mke wang akautumia na kumrubuni ili ampate!!

nitamsamehe kabisa ila hawez sahahu jinx atakavyoanza historia mpya ya maisha yake.. huenda hakuna na elim ya kutosha juu ya dini yake na hekma kwa wqke za watu hivyo nitamfunza kwa muda mchache sana. sijaribiwi na usilifanye jambo usilolijua uzito wake baadae
 
UNAENDA KUMSHTAK MKUU HATA DR. SLAA ALISHTAKIWA NA AKADAIWA FIDIA YA BN. 1, SJUI ILIISHA WAPI KES ILE.. ILA WENG HAWASHTAK, WANATOA ADHABU WENYEWE, EG. KUPAKWA MAFUTA N.K
Yule jamaa alishindw kwa sababu mke alimtelekeza zaidi ya miaka mitatu, bila kujua mke wake anaishije na watoto, kiufupi hakukuwa na kitu kinaitwa ndOa, ndio maana mazingira yakafanya kesi iwe ngumu
 
Naona Mzee Ushachapiwa Mke unajiliwaza Eti unataka kumshauri Mtu!
Mtoto wako ukimlisha akashiba hutasikia anakuabisha kwa kula kula kwa Majirani!

'Mlishe' Mkeo atosheke ndio dawa ya kuchapiwa sio kutafuta vifungu vya Sheria kwenda kufunga Watu
Ungekuwa umeoa usingejibu hivi,ni sawa na kumcheka MTU aliejela au hospitalini,ile ni hulka ya mtu kutoka nje.Wengi tunachapiwa kimyakimya sema atujui.Maana we sio wa kwanza kumfahamu wanapita sehemu nyingi kuanzia mashuleni nk,ni kuomba Mungu tu,mimi nachoogopa ni kuletewa watoto wa nje,maana huwezi mchunga binadamu .
 

Believe me!

More than 90% ya Wanawake wanachepuka kwa mapungufu ya Mwanaume
More than 90% ya Wanaume wanachepuka kwa attraction ya Nje sio mapungufu ya ndani

Huu ni utafiti usio rasmi usije kuanza kuniuliza mambo ya literature review na Conceptual framework
 
Kesi ipo ila ni ya madai labda km amembaka ndo inakuwa jinai
 
Mwambie amuhukumu mwenyewe tu. Kuna vijana wako mjini hawana kazi ukiwapa kilo tu watamalizana nae[emoji16][emoji3][emoji16][emoji23]
 
Asante kwa ufafanuz wakil msomi
 
1. Kwanza ni dhambi. Hata amri za dini zinakataza...
2. Pili ni mokosa, kwa mwanamke anayejua kaolewa lakini bado amekubali kulala na mwanume ambae siyo mume wake wa ndoa...


cc: mahondaw
 
Hakuna sheria hizo Mkuu, wee endelea kujivinjari nao. Ila mwenye mke ndio sheria yenyewe...
 
Mkuu upo vizuri
 
Mzee manzese tatizo ni mtaa ilipo, hata umeze vifungu vyote vya sheria Manzese lazima.uchapiwe tu,
Pale zipo mpaka K za promo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…