Hivi mtu anaweza kuwa na UTI zaidi ya 500?

Mkuu ulimchelewesha sana wife kumpeleka hospitali!!....you are bad husband!!
Hpna ase. Yan alkuwa aumwi ni siku mbili tumbo linaamsumbua ndyo kumpleka ikwa ivyo. Ila baada ya kutumia tu dawa siku 1 akawa mzma.
 
Culture inafanyika endapo dawa atazo pewa zikashindwa kumtibu
Not necessarily! Go back to your microbiology. Hiyo unayoisema ni calture and sensitivity test! as distincy from culture to identify organism/germ causing infection/disease.................. I stand to be corrected
 
Leo nimempeleka mke wangu maabara baada ya kusumbuliwa na tumbo muda mrefu.

Tulifanya vipimo mbali mbali ikiwemo cha UTI. Tukapewa majibu kuwa ana UTI nyingi sana yaani zaidi ya 500.

Na daktari akatuambia ya kawaida huwa ni chini ya 8. Akatushauri achome sindano ambazo ni 5000 kila moja kwa siku 5.

Binafsi sikuamini nikampeleka maabara nyingine tuhakikishe maana hawa madaktari wa mitaani huwa wapo kibiashara zaidi. Napo tulipopima tukaambiwa ni nyingi sana hadi haihesabiki.

Kusema ukweli leo ndiyo nimesikia UTI zaid ya 500 na mtu anatembea kawaida tu.

Je, kuna waliowahi pata UTI ya kiasi hicho na walitumia dawa gani kupona???
Hii ni picha niliyoipiga kwenye eye piece ya microscope, ni sample ya mkojo....
sasa kwa sababu ya ubishi wako mtoa mada hebu hesabu hivyo vi pacticle unavyoniona tujue kwenye hiyo field moja viko vingapi ukishindwa siku nyingine usiwe mbishi kujaribu ingilia professional za watu
20181101_131947.jpg
 
Hii ni picha niliyoipiga kwenye eye piece ya microscope, ni sample ya mkojo....
sasa kwa sababu ya ubishi wako mtoa mada hebu hesabu hivyo vi pacticle unavyoniona tujue kwenye hiyo field moja viko vingapi ukishindwa siku nyingine usiwe mbishi kujaribu ingilia professional za watu View attachment 939284
Nani kakuambia nabisha?
 
Leo nimempeleka mke wangu maabara baada ya kusumbuliwa na tumbo muda mrefu.

Tulifanya vipimo mbali mbali ikiwemo cha UTI. Tukapewa majibu kuwa ana UTI nyingi sana yaani zaidi ya 500.

Na daktari akatuambia ya kawaida huwa ni chini ya 8. Akatushauri achome sindano ambazo ni 5000 kila moja kwa siku 5.

Binafsi sikuamini nikampeleka maabara nyingine tuhakikishe maana hawa madaktari wa mitaani huwa wapo kibiashara zaidi. Napo tulipopima tukaambiwa ni nyingi sana hadi haihesabiki.

Kusema ukweli leo ndiyo nimesikia UTI zaid ya 500 na mtu anatembea kawaida tu.

Je, kuna waliowahi pata UTI ya kiasi hicho na walitumia dawa gani kupona???
Pole sana Mkuu, lakini mbona wewe husemi umechukua hatua gani kwako Binafsi. Kumbuka kuwa kama mkeo ana wadudu 500 wa U.T.T, wewe unaweza kuwa na 250 au 1,000. Nitamshangaa kama huyo Daktari hajakwambia upime.
 
Nini UTI 500 watu wana malaria 500 na bado wanatembea hii hutokana mwili wa mtu kuwa na kinga za kutosha yaani seli za kupambana na wadudu zikiwa fiti kalikati
 
hiyo ni gonorea hakuna cha uti ,kwa kifupi hizo ni STDI sema madakatari wetu siyo wawazi.na kumekuwa na tabia ya baadhi yenu mkishaleta haya magonjwa nyemelezi nyie mnajiwahi kunywa AZUMA.bila kuwambia hata wake zenu kupata dozi matokeo yake mwanamke wako anazidi kuumia ,anakuwa na gono sugu kiasi cha kuweza kumkatia hata kizazi.
 
UTI pia husababishwa na gonorea ila pia kuna bakteria ambao pia husababisha hiyo kitu
 
Nini UTI 500 watu wana malaria 500 na bado wanatembea hii hutokana mwili wa mtu kuwa na kinga za kutosha yaani seli za kupambana na wadudu zikiwa fiti kalikati
umenikumbasha wiki 2 lizilopita. nimepimwa nikakutwa na malaria 30 . namwambia mtu anakata
 
hiyo ni gonorea hakuna cha uti ,kwa kifupi hizo ni STDI sema madakatari wetu siyo wawazi.na kumekuwa na tabia ya baadhi yenu mkishaleta haya magonjwa nyemelezi nyie mnajiwahi kunywa AZUMA.bila kuwambia hata wake zenu kupata dozi matokeo yake mwanamke wako anazidi kuumia ,anakuwa na gono sugu kiasi cha kuweza kumkatia hata kizazi.
Hiv wewe gono unaijua au unaskia?
 
Back
Top Bottom