Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Sitosahau mwezi machi mwaka huu nilikkutana na demu mmoja was kisambaa na kuniachia bonge LA UTI haijawahi kutokea .
Nilijuta kwanini nilienda kavu ,nilidanganywa na weupe wape nikajua mtoto atakuwa safi tu kumbe!!!!! Chamoto nilikiona
Nikapima mavipimo mengine Niko poa daaaah nilishukuru
Nikatumia Amoxycillin,cipro,sindano,na vidonge Fulani vya kijani hivi nimesahau jina
Alhamudilah nimepona
Na yule manzi kila akija kichwani nakumbuka UTI tu hadi kumtunga jina ANNA MA-U.T.I hahahahahah
Sitaki hata kukumbuka