Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
- Thread starter
-
- #21
Iyo ilkuwa Gono au ksnonoKaka kuhusu u.t.i. naijua vizuri mimi nilifikisha 1000 daah yaani nilikua nashindwa ata kuzuia mkojo alafu pale mbele kuna toa kama usaha DR akanambia una hatari wewe
Hpna ase. Yan alkuwa aumwi ni siku mbili tumbo linaamsumbua ndyo kumpleka ikwa ivyo. Ila baada ya kutumia tu dawa siku 1 akawa mzma.Mkuu ulimchelewesha sana wife kumpeleka hospitali!!....you are bad husband!!
Ndiyo hizo sindano zinaitwaPower safe ndyo nn mkuu??
Culture inafanyika endapo dawa atazo pewa zikashindwa kumtibuUlifanya urine culture? tuanzie hapo
Tunaotesha mkojo, bacteria wakiota tunachukua tunawaotesha tena tukiwawekea dawa tofaut tofaut ili tujue ipi itamuua huyo bacteriaHee ndyo nini tena iyo?
Hilo ni gono mkuuKaka kuhusu u.t.i. naijua vizuri mimi nilifikisha 1000 daah yaani nilikua nashindwa ata kuzuia mkojo alafu pale mbele kuna toa kama usaha DR akanambia una hatari wewe
Not necessarily! Go back to your microbiology. Hiyo unayoisema ni calture and sensitivity test! as distincy from culture to identify organism/germ causing infection/disease.................. I stand to be correctedCulture inafanyika endapo dawa atazo pewa zikashindwa kumtibu
Hii ni picha niliyoipiga kwenye eye piece ya microscope, ni sample ya mkojo....Leo nimempeleka mke wangu maabara baada ya kusumbuliwa na tumbo muda mrefu.
Tulifanya vipimo mbali mbali ikiwemo cha UTI. Tukapewa majibu kuwa ana UTI nyingi sana yaani zaidi ya 500.
Na daktari akatuambia ya kawaida huwa ni chini ya 8. Akatushauri achome sindano ambazo ni 5000 kila moja kwa siku 5.
Binafsi sikuamini nikampeleka maabara nyingine tuhakikishe maana hawa madaktari wa mitaani huwa wapo kibiashara zaidi. Napo tulipopima tukaambiwa ni nyingi sana hadi haihesabiki.
Kusema ukweli leo ndiyo nimesikia UTI zaid ya 500 na mtu anatembea kawaida tu.
Je, kuna waliowahi pata UTI ya kiasi hicho na walitumia dawa gani kupona???
Nani kakuambia nabisha?Hii ni picha niliyoipiga kwenye eye piece ya microscope, ni sample ya mkojo....
sasa kwa sababu ya ubishi wako mtoa mada hebu hesabu hivyo vi pacticle unavyoniona tujue kwenye hiyo field moja viko vingapi ukishindwa siku nyingine usiwe mbishi kujaribu ingilia professional za watu View attachment 939284
Pole sana Mkuu, lakini mbona wewe husemi umechukua hatua gani kwako Binafsi. Kumbuka kuwa kama mkeo ana wadudu 500 wa U.T.T, wewe unaweza kuwa na 250 au 1,000. Nitamshangaa kama huyo Daktari hajakwambia upime.Leo nimempeleka mke wangu maabara baada ya kusumbuliwa na tumbo muda mrefu.
Tulifanya vipimo mbali mbali ikiwemo cha UTI. Tukapewa majibu kuwa ana UTI nyingi sana yaani zaidi ya 500.
Na daktari akatuambia ya kawaida huwa ni chini ya 8. Akatushauri achome sindano ambazo ni 5000 kila moja kwa siku 5.
Binafsi sikuamini nikampeleka maabara nyingine tuhakikishe maana hawa madaktari wa mitaani huwa wapo kibiashara zaidi. Napo tulipopima tukaambiwa ni nyingi sana hadi haihesabiki.
Kusema ukweli leo ndiyo nimesikia UTI zaid ya 500 na mtu anatembea kawaida tu.
Je, kuna waliowahi pata UTI ya kiasi hicho na walitumia dawa gani kupona???
Ulikuwa huamini majibu uliyopewaNani kakuambia nabisha?
UTI pia husababishwa na gonorea ila pia kuna bakteria ambao pia husababisha hiyo kituhiyo ni gonorea hakuna cha uti ,kwa kifupi hizo ni STDI sema madakatari wetu siyo wawazi.na kumekuwa na tabia ya baadhi yenu mkishaleta haya magonjwa nyemelezi nyie mnajiwahi kunywa AZUMA.bila kuwambia hata wake zenu kupata dozi matokeo yake mwanamke wako anazidi kuumia ,anakuwa na gono sugu kiasi cha kuweza kumkatia hata kizazi.
umenikumbasha wiki 2 lizilopita. nimepimwa nikakutwa na malaria 30 . namwambia mtu anakataNini UTI 500 watu wana malaria 500 na bado wanatembea hii hutokana mwili wa mtu kuwa na kinga za kutosha yaani seli za kupambana na wadudu zikiwa fiti kalikati
Hiv wewe gono unaijua au unaskia?hiyo ni gonorea hakuna cha uti ,kwa kifupi hizo ni STDI sema madakatari wetu siyo wawazi.na kumekuwa na tabia ya baadhi yenu mkishaleta haya magonjwa nyemelezi nyie mnajiwahi kunywa AZUMA.bila kuwambia hata wake zenu kupata dozi matokeo yake mwanamke wako anazidi kuumia ,anakuwa na gono sugu kiasi cha kuweza kumkatia hata kizazi.
Nilkuwa nauliza if itc possible sio kubisha.Ulikuwa huamini majibu uliyopewa
microscopy in wet preparation, wanakuwa counted HPF, so it's possible.Hapo hakuna culture, sijui 500 inatoka wapi. Ngoja wataalamu waje!