Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Good, sasa aliona bacteria au WBC?microscopy in wet preparation, wanakuwa counted HPF, so it's possible.
WbcGood, sasa aliona bacteria au WBC?
Wanaisema UTI 500 sijui ngapi, huwa wanahesabu leukocytes (WBCs), maana hata hivyo huziwezi kuonesha bakteria hata mmoja, nadhani hilo unafahamu.Good, sasa aliona bacteria au WBC?
Unapenda sex bila condomKaka kuhusu u.t.i. naijua vizuri mimi nilifikisha 1000 daah yaani nilikua nashindwa ata kuzuia mkojo alafu pale mbele kuna toa kama usaha DR akanambia una hatari wewe
Mwambie apime na uzito kwanza asijibugize midawa lukuki huku uzito mduchu hato pata matokeo chanyaMkuu dawa ya UTI ni vidonge vya Antibiotics kama,Ciprofloxacin ,Ampiclox,Penicillin, (PPF)
Kwa UTI sugu,tumia Ciprofloxacin+Ampiclox+Penicillin pamoja.
Nione inbox
That's true.Tiba nzuri ya kujikinga na UTI ni kila unapoingia chooni kumwaga maji mengi kwa kuyasukuma kwa nguvu ili kuondoa bacteria kwenye sink la choo ndo ujisaidie.
Pia Maji Mengi unayokunywa yanasaidia kukojoa mara kwa mara na hivyo kuwatoa bacteria kwa njia ya msukumo wa mkojo.