Hivi mtu anawezaje kuzama chumvini?

Hivi mtu anawezaje kuzama chumvini?

Crazy!!, Ebola, Aids, Hepatitis A,B,C , unajua ni nini na jinsi zinavyoambukizwa??,

Nyinyi ndio wale mnaonyonya hadi kwenye tigo, mkipata cholera mnajipa moyo eti; nzi kafia kidondani!!.
Ujui hata unachokizungumzia nikiendelea kukujibu ntakua napoteza muda
 
Wadau shalom

Wife wangu pamoja na mdogo wake wameanzisha tabia ya kupenda kufanyiwa jambo hilo ambalo zamani hatukua tunafanya, mm nalifanya tu kwa kulazimishwa

Hata huyu shemeji yangu siku za nyuma alikua anachukia jambo hilo kuwa halikubaliki mbele za mungu lakini sasa hivi amekua Mlevi mkubwa Wa jambo hilo, nimejaribu kumuonya Mara kadhaa kwamba lisifanyike lakini analazimisha, sijui nae amefundishwa na nani

Watu Wa mungu naombeni ufafanuzi je jambo hili ni dhambi au la? Au ni mm ndio nakosea?
Mbona sijaelewa mkuu, yani ni kwamba unawa kula wote au inakuaje kuaje hapo. Hebu fafanua vizuri aisee sijaelewa wife na mdogo wake dah 😊
 
Ebola is a highly contagious disease.

Ni ugonjwa unaoambukizwa kwa haraka sana kwa kugusa majimaji yanayotoka ,mdomoni, machoni,masikioni, mapuani, jasho, na katika njia za haja kubwa na ndogo.

Sasa mwanamke akiwa na virusi vya Ebola halafu jitu linaingiza liulimi lake kama kenge ndani ya papuchi ya muathirika au hata kama jitu lenyewe limeathirika na Ebola huoni kwamba hayo ni njia moja ya kusambaza huo ugonjwa??, ikumbukwe Ebola inazo hatu hadi mtu agundulike waziwazi ni katika hatua hizo za awali ndipo maambukizi huwa ni makubwa kwa sababu watu huwa bado hawajui ni ugonjwa gsni.
Kaka ebola si kama unavyoifikiria kuwa isubiri mtu uzame chumvini ndio uipate as inreact mapema sana hata huo muda kwa kupigwa deki hamna
 
Kwani hivyo vitu ulivyosema vinapitia ukeni kutoka nje ni sumu? Maana umeandika kama vile uke ni jalala yaani. Hivyo vitu havifanyi uke uwe mchafu bali uchafu ni wa mtu mwenyewe.

Swthrt, acha watu wafanye wanavyotaka kuturidhisha cha msingi hawajalazimishwa, tena wanapenda wenyewe. Wewe mwambie tuu wakwako asizame chumvini kama (uke wako unaona una sifa kama ulizoandika).
Experience
 
Kaka ebola si kama unavyoifikiria kuwa isubiri mtu uzame chumvini ndio uipate as inreact mapema sana hata huo muda kwa kupigwa deki hamna

Wewe utakuwa unaingia chumvini tu, si bure!!!.

Mtu anapoambukizwa Ebola inachukua mara nyingi siku 8-10 kuonekana dalili, ni katika kipindi hicho ndipo mgonjwa huweza kuambukiza watu wengine kupitia njia ya kugusa majimaji kutoka kwa muathirika.

Dalili za mwanzo kabisa ni;, (1) mafua,(2) homa, (3) kuhisi uchovu, (4) maumivu ya misuli, (5) maumivu ya kichwa, (6) kikohozi kikavu. Baadaye ndipo inapotokea kuvuja kwa damu ndani kwa ndani na kuvuja kwa damu kupitia matundu yote ya mwilini, yaani mdomoni, machoni, masikioni, kutoka katika njia zote za haja na mapuani, katika hatua ya kuvuja damu ndiyo hatua mbaya zaidi kuliko hatua zingine za dalili. Sasa ipo hivi; katika dalili, mfano, ya mafua utajuaje kwamba mafua hayo ni dalili ya Ebola???-- sasa hapo mtu anaingia chumvini hapo ataepuka vipi kupata Ebola??, na hapo nimechukulia dalili moja tu ya mafua, kumbuka Ebola inaambukiza pale tu dalili zinapoanza kujitokeza.
 
Chumvini wanaona kinyaa lakini mate wanakulana,

Waafrica bila unafki maisha hayaendi kabisa.
 
Wadau shalom

Wife wangu pamoja na mdogo wake wameanzisha tabia ya kupenda kufanyiwa jambo hilo ambalo zamani hatukua tunafanya, mm nalifanya tu kwa kulazimishwa

Hata huyu shemeji yangu siku za nyuma alikua anachukia jambo hilo kuwa halikubaliki mbele za mungu lakini sasa hivi amekua Mlevi mkubwa Wa jambo hilo, nimejaribu kumuonya Mara kadhaa kwamba lisifanyike lakini analazimisha, sijui nae amefundishwa na nani

Watu Wa mungu naombeni ufafanuzi je jambo hili ni dhambi au la? Au ni mm ndio nakosea?
Ufala
 
Back
Top Bottom