Hivi mtu anawezaje kuzama chumvini?

Crazy!!, Ebola, Aids, Hepatitis A,B,C , unajua ni nini na jinsi zinavyoambukizwa??,

Nyinyi ndio wale mnaonyonya hadi kwenye tigo, mkipata cholera mnajipa moyo eti; nzi kafia kidondani!!.
Ujui hata unachokizungumzia nikiendelea kukujibu ntakua napoteza muda
 
Mbona sijaelewa mkuu, yani ni kwamba unawa kula wote au inakuaje kuaje hapo. Hebu fafanua vizuri aisee sijaelewa wife na mdogo wake dah 😊
 
Kaka ebola si kama unavyoifikiria kuwa isubiri mtu uzame chumvini ndio uipate as inreact mapema sana hata huo muda kwa kupigwa deki hamna
 
Experience
 
Kaka ebola si kama unavyoifikiria kuwa isubiri mtu uzame chumvini ndio uipate as inreact mapema sana hata huo muda kwa kupigwa deki hamna


Wewe utakuwa unaingia chumvini tu, si bure!!!.

Mtu anapoambukizwa Ebola inachukua mara nyingi siku 8-10 kuonekana dalili, ni katika kipindi hicho ndipo mgonjwa huweza kuambukiza watu wengine kupitia njia ya kugusa majimaji kutoka kwa muathirika.

Dalili za mwanzo kabisa ni;, (1) mafua,(2) homa, (3) kuhisi uchovu, (4) maumivu ya misuli, (5) maumivu ya kichwa, (6) kikohozi kikavu. Baadaye ndipo inapotokea kuvuja kwa damu ndani kwa ndani na kuvuja kwa damu kupitia matundu yote ya mwilini, yaani mdomoni, machoni, masikioni, kutoka katika njia zote za haja na mapuani, katika hatua ya kuvuja damu ndiyo hatua mbaya zaidi kuliko hatua zingine za dalili. Sasa ipo hivi; katika dalili, mfano, ya mafua utajuaje kwamba mafua hayo ni dalili ya Ebola???-- sasa hapo mtu anaingia chumvini hapo ataepuka vipi kupata Ebola??, na hapo nimechukulia dalili moja tu ya mafua, kumbuka Ebola inaambukiza pale tu dalili zinapoanza kujitokeza.
 
Chumvini wanaona kinyaa lakini mate wanakulana,

Waafrica bila unafki maisha hayaendi kabisa.
 
Ufala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…