The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Mkuu, we Acha tu, lkn nahisi Ukikaa ukapekecha kichwa, utaelewa tu, ngoja watalamu waje watufafanulie hili tatizo la watu wa sampuli hiiKwani unam - refer nani huyo?
Maana unaandika kwa mafumbo kana kwamba wote tulikuwa pamoja alipokuwa anajitetea huyo umsemae..
Achia jina la huyo mtu, alisema nini na wapi na kwa namna gani na alipaswa aseme nini. Ikibidi weka video yake hapa ili nasisi tuchangie hoja..
Mkuu utaelewa tuhapa nahisi nimekosea njia maana sielewi kitu..
Mtu wa Aina hii huwa anafahamu anachofanya eeh!!Huwa kila akipata kajinafasi anajitetea kwa kum outshine mwenda zake.... Na ukimsikiliza unashangaa ati saa tano usiku alikuwa na wazee wa kijiji wanajadiliana??? Wachawi wanaweweseka sana... Ila iposiku kuna mtu atakuja na ushahidi madhubuti kuwa mpango wa Mungu uliharakishwa tutabaki midoo wazi. Nawaza kwa maandishi.
Huu msemo huu unachembe ya ukweli ndani yakeWanasema mchawi hulia sana msibani..
Inakupaje shida, wakati haikuhusu?! Au unataka na Sisi tupate shida inayo tokana na wewe kupata shida na mambo ya watu? Kama umepata shida kaa nazo huko nyumbani kwako, usitusumbue!Hahahahaa!!
Imenipa shida Sana kutaka kufahamu Kwa nini mtu ajitetee Wakati hakuna aliyeuliza swali?
Kwani na wewe hii inakuhusu mkuuInakupaje shida, wakati haikuhusu?! Au unataka na Sisi tupate shida inayo tokana na wewe kupata shida na mambo ya watu? Kama umepata shida kaa nazo huko nyumbani kwako, usitusumbue!
Nawauliza wanasaikolojia kwamba, Mtu yupo kwenye hafula Fulani hivi, anakaribishwa kusema machache, badala ya kuongelea mambo yanayohusu hafula hiyo, mtu anaanza kujitetea kusema, watu wanavumisha eti huyu simpendi, sjui hivi sijui vile
Huyu mbona ni Rafiki yangu, tumetoka mbali, mbona Sisi tunatembeleana, tumepeana mashamba na hata viwanja tumepeana
Mtu anayasema hayo, Wakati hajaulizwa swali la Aina hiyo, hii kitu huwa INA maana gani??
Hainihusu, na ndo maana sipati shida! Utake usitake, mzee wa Msoga ni mtoto wa town, na Nina uhakika hata ukipata shida gani, wala humpi shida yoyote! Mwendazake alijitaiiidi, lakini mzee wa Msoga akawa anamcheki tuuu, anasema hiiiii!Kwani na wewe hii inakuhusu mkuu
Asante chief Kwa mchango huuMtu wa namna hiyo ni sawa na nyoka aneuma tu bila kula ni mtu mnafiki mwenye Roho mbaya anaejaribu kuficha uovu wake. Mtu wa namna hiyo anatakiwa kuepukwa na jamii kama ukoma!!
Mambo yenu CCM hayana maslahi kwa Taifa
Mi shida yangu ni hao wataalamu unaowaongelea mkuu...Mkuu, we Acha tu, lkn nahisi Ukikaa ukapekecha kichwa, utaelewa tu, ngoja watalamu waje watufafanulie hili tatizo la watu wa sampuli hii
bado CODE kali sanaa km hukuwa karibu na vyombo vya habari lro huwezi ambua lolote, ngoja labda magazeti tutamgundua huyu mjivuniMkuu utaelewa tu
Mambo mengine hutakiwi kusubiri kuulizwa ukipata nafasi wapelekee Moto tu...Mkuu, ukumbuke hakuulizwa, na pengine wengi wa waliokuwepo kwenye hadhira hiyo hawakufahamu hayo mabifu yao
Mjinga gani huyo?Ile ndio ilikuwa nafasi pekee ya kukutana na hadhira, unafikiri angeitisha press conference angeweza audience wa kutosha kiasi kile?