Hivi mtu hujaulizwa, hujasemeshwa, unapewa nafasi ya kusema machache kwenye hafla, halafu unaanza tu kujitetea mara hooh Mimi mbona mwema tu n.k...

Hivi mtu hujaulizwa, hujasemeshwa, unapewa nafasi ya kusema machache kwenye hafla, halafu unaanza tu kujitetea mara hooh Mimi mbona mwema tu n.k...

Kwani unam - refer nani huyo?

Maana unaandika kwa mafumbo kana kwamba wote tulikuwa pamoja alipokuwa anajitetea huyo umsemae..

Achia jina la huyo mtu, alisema nini na wapi na kwa namna gani na alipaswa aseme nini. Ikibidi weka video yake hapa ili nasisi tuchangie hoja..
 
Huwa kila akipata kajinafasi anajitetea kwa kum outshine mwenda zake.... Na ukimsikiliza unashangaa ati saa tano usiku alikuwa na wazee wa kijiji wanajadiliana??? Wachawi wanaweweseka sana... Ila iposiku kuna mtu atakuja na ushahidi madhubuti kuwa mpango wa Mungu uliharakishwa tutabaki midomo wazi. Nawaza kwa maandishi.
 
Kwani unam - refer nani huyo?

Maana unaandika kwa mafumbo kana kwamba wote tulikuwa pamoja alipokuwa anajitetea huyo umsemae..

Achia jina la huyo mtu, alisema nini na wapi na kwa namna gani na alipaswa aseme nini. Ikibidi weka video yake hapa ili nasisi tuchangie hoja..
Mkuu, we Acha tu, lkn nahisi Ukikaa ukapekecha kichwa, utaelewa tu, ngoja watalamu waje watufafanulie hili tatizo la watu wa sampuli hii
 
Huwa kila akipata kajinafasi anajitetea kwa kum outshine mwenda zake.... Na ukimsikiliza unashangaa ati saa tano usiku alikuwa na wazee wa kijiji wanajadiliana??? Wachawi wanaweweseka sana... Ila iposiku kuna mtu atakuja na ushahidi madhubuti kuwa mpango wa Mungu uliharakishwa tutabaki midoo wazi. Nawaza kwa maandishi.
Mtu wa Aina hii huwa anafahamu anachofanya eeh!!
 
Hahahahaa!!

Imenipa shida Sana kutaka kufahamu Kwa nini mtu ajitetee Wakati hakuna aliyeuliza swali?
Inakupaje shida, wakati haikuhusu?! Au unataka na Sisi tupate shida inayo tokana na wewe kupata shida na mambo ya watu? Kama umepata shida kaa nazo huko nyumbani kwako, usitusumbue!
 
Inakupaje shida, wakati haikuhusu?! Au unataka na Sisi tupate shida inayo tokana na wewe kupata shida na mambo ya watu? Kama umepata shida kaa nazo huko nyumbani kwako, usitusumbue!
Kwani na wewe hii inakuhusu mkuu
 
Nawauliza wanasaikolojia kwamba, Mtu yupo kwenye hafula Fulani hivi, anakaribishwa kusema machache, badala ya kuongelea mambo yanayohusu hafula hiyo, mtu anaanza kujitetea kusema, watu wanavumisha eti huyu simpendi, sjui hivi sijui vile

Huyu mbona ni Rafiki yangu, tumetoka mbali, mbona Sisi tunatembeleana, tumepeana mashamba na hata viwanja tumepeana

Mtu anayasema hayo, Wakati hajaulizwa swali la Aina hiyo, hii kitu huwa INA maana gani??

Mtu wa namna hiyo ni sawa na nyoka aneuma tu bila kula ni mtu mnafiki mwenye Roho mbaya anaejaribu kuficha uovu wake. Mtu wa namna hiyo anatakiwa kuepukwa na jamii kama ukoma!!
 
Mtu wa namna hiyo ni sawa na nyoka aneuma tu bila kula ni mtu mnafiki mwenye Roho mbaya anaejaribu kuficha uovu wake. Mtu wa namna hiyo anatakiwa kuepukwa na jamii kama ukoma!!
Asante chief Kwa mchango huu
 
Mkuu, we Acha tu, lkn nahisi Ukikaa ukapekecha kichwa, utaelewa tu, ngoja watalamu waje watufafanulie hili tatizo la watu wa sampuli hii
Mi shida yangu ni hao wataalamu unaowaongelea mkuu...

Unajuaje huyo mtaalamu anafafanua kwa mlengo wa upande upi? Nahisi kila alietaalamiwa kwenye hizo taaluma atafafanua kwa maslahi yake binafsi.

Kwa mfano mie nimeshachoshwa kupandikizwa itikadi ambazo kwangu hazina maslahi...

Kila mja na ashike hamsa zake.

Mniwie radhi wafurukutwa.
 
Magufuli anavyoongea kwenye msiba wa Mkapa hakuongelea uhusiano wake na mkapa.??

Kikwete Anawanyima sana usingizi Mbwa nyie..

Akili nyingi yule, sio kama Suku gang yenu
 
Back
Top Bottom