Hivi mtu mwenye akili unatumiaje simu ya Itel, Infinix na Tecno?

mkunga wa jadi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2025
Posts
208
Reaction score
458
Hivi mtu na akili yako kabisa unatumiaje hizo simu tajwa hapo juu? Kwanza kwani hizo ni simu? Au mabomu tu ambayo yametengenezwa na wachina?

Kwanza mimi nikimuona mtu anatumia simu tajwa hapo juu sijui namuonaje sijui namuona kama sometime akili zake zimeruka au amewehuka kabisa yaani wewe umekosa simu ya kutumia ndiyo utumie hayo mabomu and mostly of them ni watu ambao wamepata low GPA kwa maana wenye GPA below 4.5 ndiyo watumiaji wa hao mabomu

Mkunga wa jadi
Kwasasa,
USA.
 
Wewe jamaa ni version mpya ya Kiduku Lilo au Bill Lugano
 
Kwangu mimi upumbavu ni kutumia Simu ya milion 2 huku matatumizi yako kwenye simu hayafiki asilimia 5%.

Yaani tofauti na Social networks, kupiga/kupokea/sms na kupiga picha huna matumizi mengine.

To cut the story short, haya matumizi unayapata kwenye Infinix na Tecno nyingi tu.

Unless kipato chako kinaruhusu ila tofauti na hapo akili huna.
 
Bora huyo anaetumia brand new kuliko wa used from dubai
 

hata kama kipato chake kikubwa huyo jamaa nimemshangaa sana kwa dharau, majigambo na kejeli inaonekana akili hana
 
Sisi waislam Mwenyezi Mungu alituambia kila mtu ata pata wake(wakwake).Yule unaemuona bomba(mrembo)mimi simtaki japo wapo wanaomtaka na unaemuona mbaya(sio mrembo)hiyo ndio mimi ninaemtaka.

HIVYO BASI KILA MTU ATAPATA WAKE(WAKWAKE)

Kutumia simu tajwa hapo juu ni mwendelezo uleule kila mtu atatumia kwa nafasi yake.
 
Ukitafakari tena kwa makini utagundua wewe ndo huna akili kwa kile ulichoandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…