Hivi mtu mwenye akili unatumiaje simu ya Itel, Infinix na Tecno?

Hivi mtu mwenye akili unatumiaje simu ya Itel, Infinix na Tecno?

Hivi mtu na akili yako kabisa unatumiaje hizo simu tajwa hapo juu? Kwanza kwani hizo ni simu? Au mabomu tu ambayo yametengenezwa na wachina?

Kwanza mimi nikimuona mtu anatumia simu tajwa hapo juu sijui namuonaje sijui namuona kama sometime akili zake zimeruka au amewehuka kabisa yaani wewe umekosa simu ya kutumia ndiyo utumie hayo mabomu and mostly of them ni watu ambao wamepata low GPA kwa maana wenye GPA below 4.5 ndiyo watumiaji wa hao mabomu

Mkunga wa jadi
Kwasasa,
USA.
Hata kama ni burudisha kijiwe epuka kukashifu mali ya mtu kwa kigezo cha kumzidi kiuchumi.

Kuna watu hata hiyo itel pekee hawana uwezo wa kumiliki lakini wanaishi. Usijione umetoboa kwani KABLA HUJAFA, HUJAUMBIKA
 
Back
Top Bottom