Hivi mtu mwenye akili unatumiaje simu ya Itel, Infinix na Tecno?

Utakua limbukeni au unapigia chapuo biashara za simu kali.. kwanza ujue mwenye akili hanunui kifaa kwa kujionesha ufahari ila kufuatana na mahitaji. Hapa natumia infinix na bila shaka nitasomeka.
 
We jombie acha upuuzi,mtu awe na infinix,tecno,itel au hata kiswaswadu haikuhusu na lolote acha shobo.Na usidharau mtu labda ndio uwezo wake.Na nkipg darubini unafaniya mtu ambaye ameaza kujua kutumia smati majuzi tu.
 
Upo USA?..homgera!sema kuwa na akili kutokuwa nazo hakutegemei upo wapi
...
 
Simu inategemeana na Matumizi yako


mtu unaweza ukawa na simu ya mamilioni na akatamuia vibaya
Na mtu anaweza akawa na simu ya kawaida akaitumia vizuri kuingiza pesa

Vitu vichache vinabadilika
Kwa mtu asiyeelewa kila simu mpya ikitoka atakuwa anainunua
Kutangatanga tu.

Hadi sasa ni version ngapi za simu zimetoka?
Ni nyingi

Juzi juzi ulikuwa unatumia button
Kabla ya smartphone kuletwa.
 
Wakuu!

Tuwe wapole.
 
Uwezo wa akili wa mtu haupimwi kwa simu anayoitumia.

Akili ya mtu inapimwa kwa uwezo wake wa kubadilika na kuzidi kuwa bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…