Auto-Marvelt
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 2,661
- 5,583
Inatakiwa alipwe kiasi gani na umechukua hatua gani kabla ya kuja kumsema huku mitandaoni
Hata ukifanya hivyo hutakiwi kuacha kazi, labda aweke vijana na tunajuaje kama hajafanya hivyo pia???Unakaza miezi 6 unapata mtaji, unaanzisha biashara. Miezi 6 unaweza jibana 200K ukafungua kijiwe cha kuunza matunda, supu, genge
Kabisa kaka halafu unakuta ni Mwanaume ndiyo anaandika hivi tena mwanaume kamili ? Amenisikitiaha mnoSamahani mkuu NAOMBA nikutukane tusi la nguoni. Huna adabu mpumbavy mkubwa WEWE sikutukani kwa ubaya ILA umeni kera NYIE NDO SABABU watoto wanawazarau wazazi WAO ETI ni mafukara.riziki ANATOA MUNGU. FANYA fikra unamsaidiaje.
We ni wale MTU anakukaribisha KWAKE kwa nia NJEMA TU unatoka HAPO UNAENDA kutangaza kwa WATU Hana vitu VYA ndani makochi yameisha, NYUMBA inanuka uvundo ama KWELI ALAF bila KUKOSEA ni MWANAUME. NDO maana mabinti wanataka haki SAWA kwa WOTE kwa HIZI akili.
Bro Alex on da beats
Duh! Ungemwomba Mungu msamaha, kuna watu hawana ht mia kwa mwezi na ni binadamu wanaishi. Mshukuru Mungu km una kipato siyo kudharau wenzako. Ila watu km ww kawaida ni maskini, watu wenye uwezo wanajua thamani ya hiyo hela.Kuna jamaa namshangaa baba Zima eti kazi linalofanya malipo laki na hamsini Kwa mwezi yaani kabisa unaaga familia Yako kwamba unaenda kazini kutafuta maipo laki na 5p ndio maana Kila siku jamaa linalalamika mke wake anamsaliti aisee
Una umri gani?Kuna jamaa namshangaa baba Zima eti kazi linalofanya malipo laki na hamsini Kwa mwezi yaani kabisa unaaga familia Yako kwamba unaenda kazini kutafuta maipo laki na 50 ndio maana Kila siku jamaa linalalamika mke wake anamsaliti aisee
Mume wako analipwa kiasi gani?Kuna jamaa namshangaa baba Zima eti kazi linalofanya malipo laki na hamsini Kwa mwezi yaani kabisa unaaga familia Yako kwamba unaenda kazini kutafuta maipo laki na 50 ndio maana Kila siku jamaa linalalamika mke wake anamsaliti aisee
Kazi ya laki na hamsini Haina marupurupu yeyote zaidi ya kuiba Mali za bosi mwisho unaishia jelaWakati unamdharau huyo anaefanya kazi ya 150,000 kwa mwezi, fikiria anaopata marupurupu gani, ansingefanya hiyo angefanya kazi gani, wapi na angeipataje, au
Asifanye kabisa akae tu awe mlinzi wa nyumbani, au awe anashinda vilabuni, anakuja kula usiku akiwa anapiga kelele na kubugudhi familia?
Mume wako analipwa kiasi Gani?Mume wako analipwa kiasi gani?
Jadili mada sio kuniuliza maswaliUna umri gani?
Unaishi wapi kwa sasa?
Umejenga/umepanga?
Una bili zozote unalipia hapo ulipo?
Unamke/ watoto au wategemezi
Elimu yako?
Kazi yako?
Maswali haya yatakufanya ujue kwann huyo mtu unayemshangaa anafanya kazi ya mshahara wa 150000/= kwa mwezi
Huna akiliDuh! Ungemwomba Mungu msamaha, kuna watu hawana ht mia kwa mwezi na ni binadamu wanaishi. Mshukuru Mungu km una kipato siyo kudharau wenzako. Ila watu km ww kawaida ni maskini, watu wenye uwezo wanajua thamani ya hiyo hela.
Comment of the year 🔥Ungekuwa mwanaume ungemuelewa...
Hoja zangu zitajikita katika maswali yangu ! Kama huwezi kuyajibu manake hujui kwann mtu analipwa hivyo na kila siku anaenda kazini.Jadili mada sio kuniuliza maswali
Jadili mada utoto wangu niachie haukuhusuHoja zangu zitajikita katika maswali yangu ! Kama huwezi kuyajibu manake hujui kwann mtu analipwa hivyo na kila siku anaenda kazini.
Utoto unakusumbua tu wewe
We ni mwanamke?Ungekuwa mwanaume ungemuelewa...
Hamna kituHuenda ina marupurupu mengi.
Sasa nijadili nn wakati hata wewe mwenyewe hujui maana ya ukichoandika? Inaonekana unakula kwa shemeji na unafuatilia mishahara ya wanaume wenzio sijui ikusaidie nn?Jadili mada utoto wangu niachie haukuhusu