Hivi mtu na akili zako timamu unawezaje kufanya kazi ya malipo laki na hamsini Kwa mwezi

Hivi mtu na akili zako timamu unawezaje kufanya kazi ya malipo laki na hamsini Kwa mwezi

Sasa nijadili nn wakati hata wewe mwenyewe hujui maana ya ukichoandika? Inaonekana unakula kwa shemeji na unafuatilia mishahara ya wanaume wenzio sijui ikusaidie nn?
Mshahara mkubwa kwako unaanzia shilingi ngapi??
Wewe unalipwa shilingi ngapi?
Kwa shemeji ndio naendaga kula sababu shemeji yangu anajua sana kupika namsifu kaka Kwa kupata mke bora
 
Kuna jamaa namshangaa baba Zima eti kazi linalofanya malipo laki na hamsini Kwa mwezi yaani kabisa unaaga familia Yako asubuhi kwamba unaenda kazini kutafuta maipo laki na 50 ndio maana Kila siku jamaa linalalamika mke wake anamsaliti aisee
Hakuna mtu anaishi kwa 150k kwa mwezi. Kuna benefits nyingine anapata.
 
Ngoja nikupe mfano mdogo tu,kuna watu ni maoperator wa mashine za kukoboa mpunga,wanalipwa hela kidogo lakin vihela vya kuokota akiwa kwenye hyo kazi ni vingi mno

wanauza pumba,mizigo midogo ya kukoboa wanachukua hela na boss hajui,wanapanga magunia kwa hela
 
Hio hela kivyakp vyako unakomaa, ila kama una wategemezi plus family ni ngumu aisee ! Kuweka tu serving mtihani !

Mara nyingi hayo ndio malipo ya kazi za viwandan, ulinzi na kwa mama ntilie,,,,

Pesa ngumu sana dah !
 
Kuna jamaa namshangaa baba Zima eti kazi linalofanya malipo laki na hamsini Kwa mwezi yaani kabisa unaaga familia Yako asubuhi kwamba unaenda kazini kutafuta maipo laki na 50 ndio maana Kila siku jamaa linalalamika mke wake anamsaliti aisee
Maisha safari,,,
 
Back
Top Bottom